SupuyaPweza
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 914
- 472
Chuo hiki hutoa mafunzo ya namna ya kufa, na ukishakufa hujisikiaje...
kuandaa wasia, kuingia kwenye jeneza na kulala ndani ya jeneza na mwalimu hupita na kufunga majeneza.
mshana naomba nisikupe, ukinogewa hurudi teena!...
Aisee kikifunguwa Tanzania kitapataje wateja