Shule ya chekechea & Msingi inakodishwa

Shule ya chekechea & Msingi inakodishwa

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Wanajamii,
Kwa yeyote mwenye idea ya kuwekeza ktk utoaji elimu kwa watoto ngazi ya chekechea na msingi, Shule IPO tayari, we we ni kukodi tu na kuiendesha kwa kadri ya mkataba tutakaowekeana;

Shule imesajiliwa kisheria;

Shule ni chekechea na msingi

Shule ilishaanza na chekechea

Shule ina majengo mazuri; madarasa 4, office 2: madawati kadhaa, vitabu kadhaa.

Shule IPO mbezi ya kimara barabara kuelekea goba,IPO karibu na hiyo barabara.

Kwa ujumla shule iko vema kimazingira na tayari kwa kuendeleza huduma hiyo.

Wanafunzi wapo kama 15 chekechea, management na ubunifu wa mwekezaji utamfanya afaidike na Mradi huu.

Sababu ya kukodisha project hii ni mmiliki kuwa nje ya Tz kwa mda mrefu, na hata aliowaachia hawawezi kuendeleza wakati miundo mbinu ipo.

Tembelea eneo hilo, Vumilia Nursery and primary school, then njoo tujadili mkataba.

Kwa sasa mhula wa kwanza umeisha, mwz wa 7 wanafungua...mwekezaji tukikubaliana ruksa kuendelea mwz huo chini ya staff waliopo au wengine...

Chukua fursa hii nzuri, kama una mtaji, kumbuka ni kukodi tu eneo na miundombinu iliyopo kwa utoaji WA huduma ya elimu na si Mradi mwingine ktk eneo hilo. ( mambo ya mkataba).

Fanya hivyo, tuwasiliane kwa no 0652656565
 
Niwhasap no 0754734009 upate picha
 
Changamkieni fursa wandugu!

Wanafunzi 15.? we imekushinda mimi nitaweza? au unataka nikutafutie wateja ikichanganya unitimue, hahahahaa a a nimeikwepa hiyo, du imepita kushoto
 
Bab-D wewe pengine si mhitaji...mwenye Shule kabla hajaanza rasmi akaenda ujerumani....yuko huko kimaisha....hawezi kufanya management ya Shule akiwepo huko, ndo wazo apatiwe mwekezaji mwingine wa kuendelea.....hivyo hiyo ni fursa kwa aliye tayari...na mkataba utakuwepo tu, si kwamba Shule ikishapata wanafunzi then unanyang'anywa hapana
 
tuwaslliane kwa email; akabamanya@gmail.com

Back
Top Bottom