Shule: Wapi nimpeleke mwanangu?

Kwa upande wa shule zenye mitaala ya nje ya Tanzania, International school of Tanganyika ni mojawapo.

Mwenye kujua zaidi kuhusu hii shule anaweza kusaidia.

Yeah its damn expensive. My son wanted to join Moshi International school for Diploma 1 (that is what we call form 5) its UDS 16800 per year for borders. So if you are looking for that kind make sure ya pocket is ,,,, u know!
No EPA money please!
 
Shule hizi zinatumia mtaala wa nje ya nchi?





Kwa mfano hapa Dar ni shule zipi nzuri?

Mama siwezi kukujibu niko nje ya Dar. Niko kanda ya kaskazini. Unakaribishwa kama una swali la huku kwenye nji (nchi) yangu ingawa sina mtoto wa kuanzia huko lakini naweza kusaidia.
 

Yes kuna shule nyingi tuu mbona pale Dar not necessarily International school.Ila nimesema tuu expensive kwa sababu nina mtoto wa uncle wangu alisoma pale my uncle spent so much money kumsomesha my cousin kwa kujinyima wao at the end of the day mtoto ame end up kuwa mvuta bangi tuu.Wakati kuna shule nyingine zuri zinafundisha same as hiyo international school ila kwa affordable fee.

If it was me i would have recomended Muhimbili primary school mbona nishule nzuri tuu na wengine tumesoma hapo hapo na wanafundisha kutoka na na mtaala huo huo wa nje ila sema wao kwa kiswahili.
 
kwani uzuri wa shule ni fee kubwa??

ni bora pia kungalia makuzi ya mtoto kinidhamu, dini n.k

Angalau basi mtoto awe na hofu ya Mungu!
 
Yeah its damn expensive. My son wanted to join Moshi International school for Diploma 1 (that is what we call form 5) its UDS 16800 per year for borders. So if you are looking for that kind make sure ya pocket is ,,,, u know!
No EPA money please!


International School of Tanganyika Fees tu ni $10,500 per annum for early childhood (watoto ambao hawajafikia umri wa kuingia kindergarten).
 
International School of Tanganyika Fees tu ni $10,500 per annum for early childhood (watoto ambao hawajafikia umri wa kuingia kindergarten).

Duuu, kumbe data unazo tayari?

Kwa upande wa shule zenye mitaala ya nje ya Tanzania, International school of Tanganyika ni mojawapo.

Mwenye kujua zaidi kuhusu hii shule anaweza kusaidia.
 
Huku peruzi kabla?


Ni rahisi kujua fees kupitia website, hakuna mwenye shule anayeandika kwenye website yake kwamba shule yetu haitunzi watoto vizuri.

Hapa JF kuna waliosoma hapo, wanaosomesha watoto wao au wa ndugu zao, wanaweza kuwa wanajua mengi zaidi. Ndio maana sikuandika 'mwenye kujua school fees ni bei gani ahabarishe' bali nimeandika 'mwenye kujua zaidi atuambie.'
 
saa ingine ni bahati wa wazazi na mtoto akili yake,

kuna mtoto wa rafiki yangu..wao ni watu tu wa kawaida, yeye ni nesi na mme wake mwal. primary na wanakaa Ubungo Kibangu!

Mtoto wao akapasi kwenda Jangwani fomm 1. Mtoto hupanda daladala kila siku: yaani Mtihani wa form IV amapata A nane..akawa kati ya wale JK aliyewapa zawadi mwaka juzi ktk Waschana waliopasi vizuri Tanzania!

Sema kwao ni watu wa dini sana.. huenda pia inampa mtoto hofu ya Mungu ana discpline ya aina fulani!

Yaani saa ingine mzazi unampeleka mtoto Shule ya bei mbaya halafu at the end anavuta bangi..huumiza sana!
 

Wanaosomesha watoto wao kwenye shule hizi, bahati mbaya hawawezi kuwa objective, watakuwa bado kwenye denial kama shule hawakuipenda, hawawezi kukwambia wamefanya mistake, kwamba shule ni mbaya na lile na hili.

Kama yule mzazi anaetetea kitoto cha vidudu kufanyiwa "interview" kabla ya kukubaliwa kuingia darasa la kwanza. "Interview" ya kutathmini kama mtoto anajua kuandika na kusoma. Wazazi wa humu bana.
 
Wanaosomesha watoto wao kwenye shule hizi, bahati mbaya hawawezi kuwa objective,...
.....Wazazi wa humu bana.


Sio wazazi wote hawawezi kuwa objective, kuna ambao wako objective. Penye wengi, hapaharibiki neno.
 
Mkuu Melo,

Kwa mtazamo wangu mimi naona shule muhimu ni wewe unavyofuatilia maendeleo ya mwanao akirudi nyumbani. Personally, nimepita shule za aina nyingi, kuanzia za halmashauri ya jiji,sekondari za serikali, the so called prestige kindergaten na hadi hizo academy za nje ya bongo enzi zile ambapo zilikuwa academy za kweli.

Hamna la ajabu, ni wizi wa pesa tu.

I believe most of my achievements if, i have any,came through the way i was raised up, though the exposure i got from all those schools made me the way i am.

Kama unataka mtoto awe na connection in his future, itabidi umpeleke shule za kifisadi akutane na watoto wa mafisadi for future reference.
 
nimesoma humu watu wengi wanasema watoto wa darasa la kwanza wanafanyiwa interview, mtoto wa darasa la kwanza hafai kufanyiwa interview this is wrong. kinachotakiwa kufanyika ni kithibitisho tu kama anaweza kuanza darasa la kwanza kutoka kwa walimu wake wa vidudu. nadhani hiyo interview inatumika kama ukiuliza kwa nini mwanangu hajapata nafasi utaambiwa kafeli iterview.
embu fikiria unaambiwa mwanao kafeli interview darasa la kwanza na wengine wamefaulu, eti hana hakili za kujiunga na shule hii???
wazazi wa JF kwa kuwaona watoto wao wana akili kabla hata hawajaanza real shule kiboko..

kuna mtu amesema mwanawe anajua kusoma kabla hajaanza la kwanza...
jamani a e i o u abcd et al sio kujua kusoma.....

ni vigumu sana kujua kama mwanafunzi atakuwaje au anaakili kiasi gani kwa ajili wengine wanachelewa kuonyesha dalili zao.....
mwalimu wa shule ya msingi kazi yake ni kumnoa mtoto na kuhakikisha ananawiri kielimu. madhumuni makubwa ya shule ya msingi ni kuhakikisha mwanafunzi anaweza kuyajua mambo mawili muhimu lugha na hisabati kwa ajili haya ndio mambo ambayo atakumbana nayo katika maisha yake yote. kwa mlio nje mtaelewa jinsi nchi za wenzetu hata form 6 bado wanataka uwe umefanya vizuri kwenye english na hisabati(uk).

kuhusiana na shule bwana max kuna mambo mengi ya kuzingatia wakati unamchagulia shule mwanao.....
1. ufundishaji kama watu wengi humu ndani walivyoongelea
2. mazingira ya shule ilipo ni muhimu sana
3. vitu vilivyopo shuleni je shule ina viwanja vya michezo hichi ni kitu muhimu sana kwa mtoto na watu wengi wanaki overlook. mtoto anapocheza ni vizuri kwa afya yake obesity ni hatari, anaweza akawa na talent nyingine ambayo sio masomo, pia mtoto anakuwa na furaha na hichi ni kitu muhimu ambacho kinamfanya mtoto apende kwenda shule. embu fikiria wewe ukicheza na mtoto wako anapata furaha kiasi gani.
4. tabia za wanafunzi mimi nilipata bahati ya kusoma shule hizi za private (nairobi) nikiwa secondary watoto wengi ambao wazazi wao wanazo huwa wanakuwa na kiburi cha kuzarau kusoma na kudhani kwamba hela kwao zitakuwepo milele. kama mkuu YE hapo juu anvyosema ni wizi wa pesa tu. HIZO SHULE ZA PRIVATE NYINGINE MWANAO ATATOKA ANAJUA KIINGEREZA LAKINI HISABATI MWANAO ATAKUWA NYUMA NA HUU NI UGONJWA WA SHULE NYINGI ZA PRIVATE, WANATAKA WAMFURAISHE MLIPA ADA(MZAZI) KWA MTOTO KUONGEA KIINGEREZA LAKINI HISABATI YUKO WEAK. WANAJUA WAZAZI WENGI WATAWAONGELESHA WATOTO WAO KIINGEREZA KULIKO KUFAWAFUNDISHA HISABATI KWA HIYO HAWAWEZI KUUONA MAPUNGUFU. NINAONGELEA KUTOKANA NA EXPERIENCE.

5. na kama ulivyosema ni bweni - uangalie menu ya shule ikoje ili kuepusha kuingia gharama za kununua vitu vya kula kula.
6. inabidi na wewe uwe unafatilia progress yake hichi ni kitu muhimu sana
 
Last edited:
Accredited na CIS
-International School of Tanganyika(DSM)
-International School of Moshi(Kilimanjaro)


Sijui kuhusu hizi mbili kama ziko accredited na CIS au hapana ila zinafuata British Curriculum.
-Braeburn Schools Arusha(Arusha)
-St. Constantine(Arusha)

Kwa maoni yangu IST au ISM.
 
Ukipeleka mtoto ISM hakikisha unamsomesha sana asiige kila anachokuta huko na mumwombee kwa Mungu akiwa huko asibadilike akashawishika na vishawishi vya shanty town ile ya Moshi.
HOPAC iliyopo Dar ni nzuri, but then again hata shule zetu za msingi ni nzuri inategemea tu mtoto wako na unavyojishughulisha na elimu yake wewe kama mzazi
 

IST na ISM wanafuata curricula gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…