Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Hallo wana-Jf,
Nina mdogo wangu amefauli kidato cha Nne na kupangiwa Mchepuo Arts(HGK). Yeye binafsi anataka asomee Mchepuo wa Sayansi(PCB) kwani hata hiyo Combi amepasua Pia.
Ninaomba kujulishwa Shule Nzuri kwa Mikoani(sio Dar) iliyo na Mchepuo wa PCB ili aweze kwenda kupiga Buku kwani ndio masomo anayoyapenda. Pia sio Vibaya nikajua na gharama ya Ada na Address(Simu au Postal Address) kwa Shule utakayo nitajia.
Natunguliza shukrani.