Shule kumi ghali Tanzania

Shule kumi ghali Tanzania

sikatai hiyo inawezekana Kwa nafasi ndogo plus high connection ila mkuu Kumbuka hao watoto wa ghari mara nyingi wakimaliza hiyo elimu yenye mitaala ya Cambridge hapa bongo hua wanakwea pipa mambele kwenye university Bora Ulimwenguni kubukua,
Mwenye nacho huongezewa Mzee baba!

Alafu akishaenda uko mambele akasoma akamaliza?
 
Aisee nimejiona maskini sana

Wewe sio masikini mkuu! Kila mtu ana nafasi kwenye hii inchi yakuishi atakavyo wapo waliosoma izo shule na sasa wapo uraiani na wazazi wamekuwa masikini na wapo waliosoma uko kayumba leo ndo maraisi fuatilia hawa maraisi wa nchi zote za Africa walisoma shule za kata! Nataka nikwambie usijilinganishe na mtu..... mimi ni baba na mwanangu hapa anapasomoa najivunia kwani ndo uwezo wangu usikufuru Mungu mkuu
 
Hata kama mkuu kwa mwezi niingzie billion bado sijalipa ad ya milioni 70 yani haiwezekani sio tu kwasababu huo uwezo sina hata nikiwa nao ito hela silicon niamini
Unaingiza 1B sasa hivi? Wanao wanasoma wapi? Wanaoingiza hizo billions hela ya Ada haitoki mfukoni kwao ni sehemu ya gharama za kampuni yake. Na shule hizo wengi ni watoto wa mabalozi na wafanayakazi wa international bodies ambazo ndio zinalipa Ada na gharama zingine za maisha.
 
Wewe sio masikini mkuu! Kila mtu ana nafasi kwenye hii inchi yakuishi atakavyo wapo waliosoma izo shule na sasa wapo uraiani na wazazi wamekuwa masikini na wapo waliosoma uko kayumba leo ndo maraisi fuatilia hawa maraisi wa nchi zote za Africa walisoma shule za kata! Nataka nikwambie usijilinganishe na mtu..... mimi ni baba na mwanangu hapa anapasomoa najivunia kwani ndo uwezo wangu usikufuru Mungu mkuu
Ha ha ha hao Marais wakati wanasoma hizo shule hazikuwepo. Hata mimi wakati nasoma hizi English medium hazikuwepo ilikuwepo IST tu. Shule Bora zilikuwa za serikali,private zilikuwa Kwa ajili ya waliofeli.
 
Kama pesa inaruhusu peleka watoto shule hizi itawasaidia mbeleni kutengeneza connection ya watoto wa matajiri wanasiasa na wenye maamuzi katika nchi hii itawasaidia kupata michongo ya life mbeleni.
Ni nadra Sana kwa classmate hawatupani ni kama undugu tayari mkikumbukia ujana mfano disco,vibuti,vibomu,nk.
 
sikatai hiyo inawezekana Kwa nafasi ndogo plus high connection ila mkuu Kumbuka hao watoto wa ghari mara nyingi wakimaliza hiyo elimu yenye mitaala ya Cambridge hapa bongo hua wanakwea pipa mambele kwenye university Bora Ulimwenguni kubukua,
Mwenye nacho huongezewa Mzee baba!
Ndiyo upumbavu huo sasa, unasoma Kisha unaenda kutengeneza uchumi wa nchi nyingine badala ya nyumbani kwenu, uzungu umefanya waafrika kua wajinga wa kutupa, kwenda mambele siyo sifa ni utumwa
 
Haya mahesabu anapiga masikini.

Anayetengeneza 500M au 1bn kwa mwaka haoni shida kumlipia mtoto ada shule hizi.

Wewe unaewaza kuanzisha biashara kwa mtaji wa 71M, kuna ambaye ana biashara tayari inatengeneza hiyo 71M kwa week.

Na sio guarantee ukaanzisha biashara zikadumu mpaka huyo mtoto akakua, inaweza kuyumba hata kufa vilevile.
Hakuna ulicho elewa maana yangu
 
Umekosea kusema "elimu in ubishoo" ungeweka "mtaala wa elimu ya bongo ni ubishoo".

Hao watu wanaosomesha watoto hiyo mitaala mostly ni watu wanaoijua dunia na wameteka takribani kila nyanja katika dunia halafu sio watu wa show off.
Umetoka matombo, Karagwe na Kishapu... Umeacha shangazi zako na umasikini wa kutupa, na hii ndiyo ardhi ya kwenu wewe unasema unakua umeteka Dunia, Kuna ngozi nyeusi iliyo teka Dunia kiuchumi au unaongea tu kujifurahisha, akiwepo aliyeteka Dunia na ni ngozi nyeusi basi ni mfanya biashara asiye na elimu au mwenye elimu ndogo, mtindo wa hizi shule ni kumfanya mweusi mjinga awaze kwenda kutumika Ulaya, nao wanafurahi Kwa sababu wanajua haya mapuuzi hayajengi uchumi wao yanakuja kwetu
 
Hapo bado tours za safu ya milima ya himalaya,na fukwe za maldives kuangalia waves features mbalimbali za fukwe,Gharama za kwenda hiroshima na nagasaki kushuhudia madhara ya Nuclear.Hawajaenda bdo siberia na ontario Canada ambako watapitia Arizona kuangalia baadhi ya vitu vya kijiografia na mwisho waende Amazoni kujifunza mambo mbali mbali ya kijamii na hasa kujifunza namna ambavyo msitu wa amazoni unavyobeba uhai wa viumbe duniani,halafu watatulia copa cabana kwenye tamasha la kimataifa kwa wanafunzi wenzao kutakuwa na mashindano mbali mbali katika viwanja vya maracana katikati ya jiji la rio de Janeiro Mzazi atachanga $40k...Hela hela,pesaaaa
Hapo atakua amechangia uchumi wa Taifa lake?
 
nikiwa advance kuna sehemu nilikua nafanya part time job sasa boss wa pale mama mmoja hivi mzuriii alikua na watoto wake wawili na wote walikua wanasoma IST imagine, kuna kipindi nakumbuka alikua anaumwa jino akaenda zake Cape Town kutibiwa.. watu wana hela jamani..
 
Nenda kawaulize wanaofuata hio mitaala watakwambia Nini maana ya 'Creating an inclusive LGBT Inclusion Curriculum'

Nyie endeleeni kuimba tu ooh tafuta hela tafuta hela.Mtafurahishwa.
Moshi tu hapo shule ina vyoo vya jinsia moja 2...

Kuna vyoo vya stright na vyoo vya lesbians and gays...

Wanakwambia we are preparing our kids for the world
 
Lakini hawa waliosoma kwenye haya mashule hatuwaoni kwenye Mataasisi ya kiserikali na makampuni makubwa tunakutana sisi Kayumba huwa wanaenda wapi
 
Back
Top Bottom