Shule kumi ghali Tanzania

Shule kumi ghali Tanzania

Na huko ndiko kwny uzalishaji mkubwa wa vijana mapunga na wasagaji.

Tukiwa hatuna uwezo ni utamaduni wetu kuponda.

Tutaponda IPhone na kusifia Tecno.
Tutaponda Range Rover na kusifia Vitz.

Lakini ikitokea tumepewa tuchague zawadi ya bure kati ya Iphone na Tecno au Range na Vitz ndio utajua mahitaji yetu halisi ya mioyo yetu.
 
Asante Sana Dj haya tuletee
St Kayumba stejini watuhurudishe na kibao mwanana Cha Elimu bureeee!
Kwa sasa elimu ni ubishoo tu, na ndo mana utawaona ni matajiri, mtu wa kawaida wapo wanao weza na wana mishahara ya million 7 au 8 lakini wametoka familia masikini tu, milioni 71 per year nikiiweka Kwa akili ya huyo mtoto kiuwekezaji, na Kisha akasoma elimu ya kawaida, bado anaweza kifika mbali kielimu na akamaliza akiwa na mali pia ambayo wewe kama mzazi umeitengeneza, na inawezekana kabisa wale wenzie wa ada ya million 71 wakaja kuajiriwa naye

Msitujengee ujinga vichwani ilihali uhalisia tunaujua
 
sikatai hiyo inawezekana Kwa nafasi ndogo plus high connection ila mkuu Kumbuka hao watoto wa ghari mara nyingi wakimaliza hiyo elimu yenye mitaala ya Cambridge hapa bongo hua wanakwea pipa mambele kwenye university Bora Ulimwenguni kubukua,
Mwenye nacho huongezewa Mzee baba!
 
Haya mahesabu anapiga masikini.

Anayetengeneza 500M au 1bn kwa mwaka haoni shida kumlipia mtoto ada shule hizi.

Wewe unaewaza kuanzisha biashara kwa mtaji wa 71M, kuna ambaye ana biashara tayari inatengeneza hiyo 71M kwa week.

Na sio guarantee ukaanzisha biashara zikadumu mpaka huyo mtoto akakua, inaweza kuyumba hata kufa vilevile.
 
sikatai hiyo inawezekana Kwa nafasi ndogo plus high connection ila mkuu Kumbuka hao watoto wa ghari mara nyingi wakimaliza hiyo elimu yenye mitaala ya Cambridge hapa bongo hua wanakwea pipa mambele kwenye university Bora Ulimwenguni kubukua,
Mwenye nacho huongezewa Mzee baba!
Ni rahisi kwa mwanafunzi wa IST kuingia harvard kuliko st kayumba, hata kama wa st kayumba ana A zote kuanzia vidudu.

Dunia ya sasa ni connections kila sehemu, hakuna tena mambo ya vyeti.
 
Kwa sasa elimu ni ubishoo tu, na ndo mana utawaona ni matajiri, mtu wa kawaida wapo wanao weza na wana mishahara ya million 7 au 8 lakini wametoka familia masikini tu, milioni 71 per year nikiiweka Kwa akili ya huyo mtoto kiuwekezaji, na Kisha akasoma elimu ya kawaida, bado anaweza kifika mbali kielimu na akamaliza akiwa na mali pia ambayo wewe kama mzazi umeitengeneza, na inawezekana kabisa wale wenzie wa ada ya million 71 wakaja kuajiriwa naye

Msitujengee ujinga vichwani ilihali uhalisia tunaujua
Hao sidhani kama wana mawazo ya hizi ajira tunazogombania wakina sie.....huyo anamaliza tayari kuna biashara zinamngoja asimamie hata kama ni kazi basi ni sehemu zile nzito nzito za maana
 
Back
Top Bottom