Nlisoma sangu sec ila nlitimuliwa
Sikumaliza miezi 3 wanapiga bakora balaa
Kulikuwa na mwl anaitwa kabigi na ndimbo
Wao utafikiri walinikamia
Ova
hahaha umenkumbusha headmasterIle swimming pool bora wangeifukia tu, kuna mwaka alikufa mtoto wa mwalimu pale kwa kuzama mule.... nakumbuka ilinivurugia plan za kung’oa mtoto wa Mung’ong’o.
Hio shule sio ya kupeleka mtotoNow days Bakora zipo Ivumwe. Sangu full luxury, nimeondoka Sangu miaka ya 2010+ .
Ivumwe weka mbali na watoto.
Ndimbo kazeeka sana saivi.Nlisoma sangu sec ila nlitimuliwa
Sikumaliza miezi 3 wanapiga bakora balaa
Kulikuwa na mwl anaitwa kabigi na ndimbo
Wao utafikiri walinikamia
Ova
hahaha umenkumbusha headmaster
Pande la jitu
Yes .maximoLilikuwa linajiita Maximo enzi hizo.
Bado ni dampo mkuu.Labda walikuja kuweka Sawa
Ova
Cattle boma chimbo la people za Mwanza na shinyanga.Sanaaaa. Ukiwa cattle boma lazima unywe uji wa maziwa.
Mtoto yupi mkuu..Ile swimming pool bora wangeifukia tu, kuna mwaka alikufa mtoto wa mwalimu pale kwa kuzama mule.... nakumbuka ilinivurugia plan za kung’oa mtoto wa Mung’ong’o.
Duh .....Bado ni dampo mkuu.
Nimemaliza miaka ya hivi karibuni labda wamerekebisha usiku wa jana kuamkia leo.
Mng'ong'o alihamishiwa mwakaleli baada ya shule kuwa na matokeo mabovu sana ya advance 2016.hahaha umenkumbusha headmaster
Pande la jitu
Machine zilishakufa mkuu..Vipi kuhusu Yale machine ya kusaga na kukoboa?
Vipi kuhusu ule ukumbi ambao Una underground space?
Umenikumbusha toto za loleza DahMachine zilishakufa mkuu..
Ule ukumbi bado upo na pini za loleza nasikia zinapigwa kama kawaida .
Mle ndani paper ikikugonga unaanza kukumbuka ujinga wote uliokuwa unaufanya na watto wa loleza
Ni mwaka gani huo kiongozi?Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!
Shule nyingi ambazo zilikuwa zinakiki zamani sa hivi hakuna kitu.Umenikumbusha toto za loleza Dah
Aise mbn hyo shule haiskii now days
Ova
St Francis I naanza nlikuwa mbeyaShule nyingi ambazo zilikuwa zinakiki zamani sa hivi hakuna kitu.
Sa hivi shule za private ndo habari.
Kwa mbeya ni St.francis tuu ndo inakiki naw.
Wachumba zetu wa loleza baada ya kufika versity tumekuwa maadui .hahahaha life bana.
Mkuu kweli wewe mkongwe kumbe hadi Jombi mtata unamjua.?St Francis I naanza nlikuwa mbeya
Ila na ww hilo Jina lako la jombi inanikumbusha jombi mtata
Ova
Ada ya elfu mbili mawaziri wengi walishindwa kuilipa, mzee Aikaeli Mbowe, sir G. Kahama, chief Mkwawa ni miungoni ya wazazi walioweza kuwasomesha watoto wao hapo, wanafunzi wengi walikuwa wahindi, walimu wengi na headmaster wazungu, kwa waafrika wachaga wengi, wazungu hasa watoto wa masetla wenye mashamba makubwa wa nchini na nchi za jirani.Mm nimesoma kipindi Ada 70000/=
Hyo mtu nshakutana naye sana garage moja hapo soweto enzi hzo Mm chalii tuMkuu kweli wewe mkongwe kumbe hadi Jombi mtata unamjua.?
Mimi nimeamua tuu kujiita ivo but sio mtata kama Jombi.
Mkuu Kabigi na ndimbo balaa. Ndimbo amenifundisha biology namshukuru sana nimekuwa mtaalam. Nahisi kuna member mmoja humu ni mtoto wa Kabigi.Nlisoma sangu sec ila nlitimuliwa
Sikumaliza miezi 3 wanapiga bakora balaa
Kulikuwa na mwl anaitwa kabigi na ndimbo
Wao utafikiri walinikamia
Ova