Shule hii Mbeya iko wapi?

Shule hii Mbeya iko wapi?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
23,255
Reaction score
28,414
Miaka ya hamsini mpaka baada ya Uhuru mji wa Mbeya ulikuwa na shule ya kati (middle school) iliyojulikana kwa majina ya N.A. (Native Authority) na baadaye L.A. (Local Authority).
Sifa kubwa ya shule hii ni kuweza kutoa viongozi wakubwa wa mashirika ya umma, viongozi hao ni Pro. Matthew Luhanga (makamu chuo kikuu Dar es Salaam), Linford Mbona (mkurugenzi Shirika la reli Tanzania) Elijah Bharuhan(sic) Luhanga (mkurugenzi mkuu Tanesco), Diamond Mwakyembe (mkurugenzi TBS), Nicholas Mbwanji (mkurugenzi NIT) , marubani wa ATC wawili ndugu Mwambapa! na wengine ambao nimewasahau majina, wote hawa ni wale waliondoka kabla ya mwaka 1964.
Kwa orodha hii inaonesha ni jinsi gani shule hii ya L A Middle School ilivyokuwa na viwango vya huu vya msingi wa elimu kuwawezesha kuinhia kwenye vyuo vikuu na kuweza kushika nyadhifa za huu nchini.
Kwa wenye kumbukumbu zaidi ninawakaribisha.
 
Iyunga ilikuwa bonge la shule
Ila ilikuwa haimilikiwi na serikali kabla
Badaye ndy serikali nyerere wakaja itaifisha....
Shule mwanzoni ilikuwa na mpk swimming pool wabongo walipoichkua sehemu hyo wakaigeuza dampo ya kuweka uchafu

Ova
Nmesoma iyunga

Na swimming pool haijageuzwa dampo
 
Iyunga ilikuwa bonge la shule
Ila ilikuwa haimilikiwi na serikali kabla
Badaye ndy serikali nyerere wakaja itaifisha....
Shule mwanzoni ilikuwa na mpk swimming pool wabongo walipoichkua sehemu hyo wakaigeuza dampo ya kuweka uchafu
Ova
Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!
 
Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super.
Naskia Joel bendera aliwahi kuwa mwalimu wa michezo hpo

Ova
 
Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!
Duh....
Mimi nlisoma sangu sec miaka 90
Tulidhuru hpo shule .....iyunga

Ova
 
Ndiyo mkuu

Ila ile swimming pool ilikua haitumiki

Ipo karibia na gymnastic
Mimi nlisoma sangu form 1 miaka 90s
Tulidhuru hpo kimichezo
Ila kuna mzee mmoja alisomaga enzi hzo hpo iyunga ukicheki picha za kitambo kile shule ilikuwa kama iko mbele

Hata kibasila enzi hizo iko chini ya waghoaa ilikuwa nzuri
Ila mzee baba alipozitaifisha tu akashindwa ziendesha

Shkamoo kakaa
 
Shikamoo mkuu

Duh 90's
 
Usisahau na Cattle boma

Back
Top Bottom