Shule gani nzuri ya A-level kwa Dar, Arusha au Moshi?

zendindi

Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
29
Reaction score
23
Habari zenu wa uungwana, Naomba Kujua nina mdogo angu kumalizia 4m4 Kenya shule za Kata Sasa tunataka aje kusomea 4m5 huku tzd, itakuaje na nikivipi na shule ipi nzuri kwa Dar, moshi na arusha? Asanteni na Subiri ushauri, kama hujaguswa maliza mwaka salama
 
ushauri wangu kama unaleta huku kipindi akifkia level ya chuo
 
MmHh kenya 4m 4 anakuja advance tz? sina uhakika km tz na kenya tunafanana kielimu
 
kama ni wa kike Mariegoret Masama zinamfaa kama wa Kiume Uru semimary zote zipo Moshi
 
Habari zenu wa uungwana, Naomba Kujua nina mdogo angu kumalizia 4m4 Kenya shule za Kata Sasa tunataka aje kusomea 4m5 huku tzd, itakuaje na nikivipi na shule ipi nzuri kwa Dar, moshi na arusha? Asanteni na Subiri ushauri, kama hujaguswa maliza mwaka salama
Feza boys' sec school. Ipo dar, tegeta
 
Back
Top Bottom