Msaada shule nzuri ya masista Kwa Dar essalaam

Too face

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
223
199
Hello wakuu Naomba Msaada
shule nzuri ya MSINGI ya masister ya bweni iliyopo Dar
Ukitaja vitu vifuatavyo utabarikiwa..

1jina la shule
2mahali ilipo

na vingine vya MSINGI.
ASANTENI.
 
Mary mother of Mercy
Ipo Gongo la mboto nyuma ya Kampala university kama unaenda Majohe
Ukiivuka rail tuu ulizia kanisa katoliki- shule ipo ndani ya hilo kanisa
Mazingira mazuri, malezi mazuri, taaluma safi na ada ndio kama hiyo unayotaka

Kila la heri
 
Naunga mkono hoja
 
Iko shule moja ya Ma sister Tegeta Nyuki nimesahau tu jina...
 
Hello wakuu Naomba Msaada
shule nzuri ya MSINGI ya masister ya bweni iliyopo Dar
Ukitaja vitu vifuatavyo utabarikiwa..

1jina la shule
2mahali ilipo

na vingine vya MSINGI.
ASANTENI.
Huyo unayetaka kumpeleka huko kwa Masista akasome Umeshajiridhisha kuwa bado yuko Bikira ( Sealed ) kama hao Wenzake anaoenda Kuwakuta na Kujumuika nao huko Kitaaluma?
 
Mary mother of Mercy
Ipo Gongo la mboto nyuma ya Kampala university kama unaenda Majohe
Ukiivuka rail tuu ulizia kanisa katoliki- shule ipo ndani ya hilo kanisa
Mazingira mazuri, malezi mazuri, taaluma safi na ada ndio kama hiyo unayotaka

Kila la heri
Asante sana .nitakwenda kuiona.
 
Back
Top Bottom