Shule gani bora ya sekondari ukanda wa pwani?

Shule gani bora ya sekondari ukanda wa pwani?

Ahmes nenda pale nzuri sana na awe vzr mchujo nao mzuri.
 
St. Millenium hauwezi kuiweka kwenye kundi la best schools. Haiwezi kulinganisha na Marians, Cannosa au Feza. Ni average school.
Jidanganye mkuu....

Hebu wacha dhihaka bana....

Screenshot_20181002-180648.png
 
Pole mkuu inabd ukubali shule za kati shule nyingi kali marian cannosa ahmes mazinde rosmini st Joseph kote huko washafanya usaili na hufanya mapema kupata top cream lkn waweza cheki suggestions za wadau muhimu angalia performance pia ya shule necta
 
Mwanao km yupo vizuri na ufaulu wake ukawa mzuri, fanya mpango ahamie Mzumbe, Boys au Kibaha
 
Hii kitu ishawahi kumuharibia mtoto wa jirani yangu,alifaulu kayumba,mzee wake akafanya mishe kumuhamishia jangwani,kizazaa kikaja mtihani wa fomu 2,jina lake jangwani halipo kwenda kule kayumba lipo but walimu wa kayumba wakadai dogo ni mtoro,hatari sana!
Mwanao km yupo vizuri na ufaulu wake ukawa mzuri, fanya mpango ahamie Mzumbe, Boys au Kibaha
 
Weka rank yake national wise for three consecutive years effective from 2016.
Wacha kujifanya kichwa maji...

Catholic Schools are the best world wide...ukiangalia top 100 matokeo ya Kitaifa shule 80 zote za Kanisa Katoliki..

Halafu skiza, matokeo au ubora wa shule haupimwi kwa rank..unapimwa kwa ufaulu na jinsi shule inakazana kuondoa div 4, 0..

Millenium imefanikiwa kuondoa kabisa div 3....


Shule kama St francis zinamikakati ya kufuta kabisa Div 2....
 
Kwa nini mnawabagua wasabato?
Sio lazima...Ila Ikibainika ni Msabato no Admission....tuliwapa favour ya kupata elimu bora ila mkaleta ushenzi....sasa ni kufyeka....

NB: Catholic Schools must retain its catholic Identity...

1. Morining Mass (every day)
2. Adoration of blessed sacrament
3. Benediction
4.Sunday mass

Hivyo vyote lazima vifanyike...no one will force you to take adm form....
 
Unaifahamu vizuri St Joseph au unaropoka?
Usitukane mtu usiyemjua. Weka takwimu, zitaongea. Ni mara ngapi imekuwa kwenye shule kumi bora kwa warau miaka 3-5 iliyopita na imetoa wanafunzi wangapi kwenye orodha ya wanafunzi kumi bora ktk kipindi jicho?

Kwa mtu mwenye utimamu wa akili na mfuatiliaji wa mambo ya shule, you cannot rank St. Joseph Millenia in the same level as Marians, Cannosa, Rosimin, St. Francis Girls, Kemebos, Maria Goret (although have flopped for the past few years), Fezas, St. Marys Nazinde n.k.

St. Joseph ni average School sawa na Tusiime, Baobab n.k
 
Back
Top Bottom