Mkuu haya ni maoni yako au tafiti imefanyika?Hizi ndio shule bora Tanzania.
1.Mzumbe
2.Ilboru
3.Kibaha
4. Tabora Boys & Girls
5. Kilakala
6. Msalato
7. Milambo
8.Tosamaganga
9. Iyunga Tech
10.Ifunda Tech
11. Usagara
12. Pugu
13.Tambaza
14. Jangwani
15. Songea Boys
Anza na
-Tabora boys.
-Malangali Secondary School.
-Tosamaganga Secondary School.
Zinaongoza kwa kutoa viongozi wengi top cream nchini.
Hawa hawa Viongozi wapiga deal au wengine?Anza na
-Tabora boys.
-Malangali Secondary School.
-Tosamaganga Secondary School.
Zinaongoza kwa kutoa viongozi wengi top cream nchini.
Hizi ndio shule bora Tanzania.
1.Mzumbe
2.Ilboru
3.Kibaha
4. Tabora Boys & Girls
5. Kilakala
6. Msalato
7. Milambo
8.Tosamaganga
9. Iyunga Tech
10.Ifunda Tech
11. Usagara
12. Pugu
13.Tambaza
14. Jangwani
15. Songea Boys
Mm nakumbuka siku moja walipita na lori lao wanaenda disco Milambo wakatuambia tunaenda kwa shemeji zenu.Tukawasubiri wakati wanarudi tukawalowesha na maji ya Maharage bahati mbaya wakakuta maji yamekatika.Daa Umenikumbusha mbali Mwanangu,
Enzi hizo ukifika tu Geti la Mzumbe sec, wanakwambia Tayari una two,
Ukiingia Darasani una ONE.............Mzumbe ni balaaa..........Zongwe mnalikumbuka washikaji???????????????????
Mzumbe+Kilakala=Mzukila mnaikumbuka wadau???????????????
Huku Bana aliekuepo Jamaa moja anaitwa Uncle Bitwale(R.I.P) alikuwa anachekesha sana,.............Tanzania One..Wibonele Mkali wa Physics Tanzania Nzima(R.I.P), Alikuwepo Mwasha R.J Nyayoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...................Determination.................
If you have gone to this schools, you won't regret in your Life
Kingine Bana umenikumbusha namba 7..........Milambo Wanaume................Wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!! Eeeeeeeeeeeeee! Mapanga shaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Huku Bana alikuepo Mohamedi Majubwa na Mwingine Njiani..................huku paper ya kwanza na Mwisho ni NECTA...
Rafiki zetu Boys aka mahasimu wetu...............Jamani OSO mpooo??????? Shemeji zetu haoooo..............
Hivi Radio za Tabora Bado zipo?????
Walamboooooooooooo! Walambooooooooooooo!...................Hizo ni sauti za Tabora Boys Mechi kati ya Boys And Wanaume(Milambo).................
Hivi lile tukio la Girls kupigwa na Wanaume(milambo)mnalikumbuka?????????????????????????
Hizi ndio shule bora Tanzania.
1.Mzumbe
2.Ilboru
3.Kibaha
4. Tabora Boys & Girls
5. Kilakala
6. Msalato
7. Milambo
8.Tosamaganga
9. Iyunga Tech
10.Ifunda Tech
11. Usagara
12. Pugu
13.Tambaza
14. Jangwani
15. Songea Boys