Shule Bora 15 Tanzania toka Uhuru

Shule Bora 15 Tanzania toka Uhuru

Hizi ndio shule bora Tanzania.

1.Mzumbe
2.Ilboru
3.Kibaha
4. Tabora Boys & Girls
5. Kilakala
6. Msalato
7. Milambo
8.Tosamaganga
9. Iyunga Tech
10.Ifunda Tech
11. Usagara
12. Pugu
13.Tambaza
14. Jangwani
15. Songea Boys

Wewe ulisoma sekondari mwaka gani mkuu maana umesahau kiboko ya Elimu Umbwe Sec Chini ya KJJ mtui
 
Hizi ndio shule bora Tanzania.

1.Mzumbe
2.Ilboru
3.Kibaha
4. Tabora Boys & Girls
5. Kilakala
6. Msalato
7. Milambo
8.Tosamaganga
9. Iyunga Tech
10.Ifunda Tech
11. Usagara
12. Pugu
13.Tambaza
14. Jangwani
15. Songea Boys
Shule bora kama mwandishi anavyoona jamani
 
Kaacha shule kama mwenge wakati iliwahi kutoa mwanafunzi bora kitaifa na iliendelea kufanya vizuri.
 
Ni vizuri wadau tukazikumbuka shule zetu za kitaifa,maana tulizijua zote kwa majina na zipo wapi pamoja na sifa zake kitaaluma.
 
Ina maana Umbwe Sekondari iliyokuwa inapambana na seminari miaka hiyo aikizi vigezo vyako. Sijui imewezakana vipi ile shule kufa lazima watakuwa walimu tu.

Umbwe ni mti safi wa matunda mema...........
 
Ina maana Umbwe Sekondari iliyokuwa inapambana na seminari miaka hiyo aikizi vigezo vyako. Sijui imewezakana vipi ile shule kufa lazima watakuwa walimu tu.

Umbwe ni mti safi wa matunda mema...........
we sema shule gani kwenye list itolewe
 
Tanga school na Moshi tech ndio shule zilizotoa wanasayansi na wataalam wengi zaidi nchini.
 
we sema shule gani kwenye list itolewe
Kati ya Pugu, Tambaza, Jangwani, Tabora boys; hawa miaka hiyo sisi tuko sekondari Umbwe walikuwa awako nayo ligi moja kabisa but then ata Maua seminari siku hizi si isikii kabisa mambo yamebadilika sana.
 
Kaacha shule kama mwenge wakati iliwahi kutoa mwanafunzi bora kitaifa na iliendelea kufanya vizuri.
 
Ni vizuri wadau tukazikumbuka shule zetu za kitaifa,maana tulizijua zote kwa majina na zipo wapi pamoja na sifa zake kitaaluma.
 
Kaacha shule kama mwenge wakati iliwahi kutoa mwanafunzi bora kitaifa na iliendelea kufanya vizuri.
 
Daa Umenikumbusha mbali Mwanangu,
Enzi hizo ukifika tu Geti la Mzumbe sec, wanakwambia Tayari una two,
Ukiingia Darasani una ONE.............Mzumbe ni balaaa..........Zongwe mnalikumbuka washikaji???????????????????
Mzumbe+Kilakala=Mzukila mnaikumbuka wadau???????????????
Huku Bana aliekuepo Jamaa moja anaitwa Uncle Bitwale(R.I.P) alikuwa anachekesha sana,.............Tanzania One..Wibonele Mkali wa Physics Tanzania Nzima(R.I.P), Alikuwepo Mwasha R.J Nyayoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...................Determination.................
If you have gone to this schools, you won't regret in your Life

Kingine Bana umenikumbusha namba 7..........Milambo Wanaume................Wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!! Eeeeeeeeeeeeee! Mapanga shaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Huku Bana alikuepo Mohamedi Majubwa na Mwingine Njiani..................huku paper ya kwanza na Mwisho ni NECTA...
Rafiki zetu Boys aka mahasimu wetu...............Jamani OSO mpooo??????? Shemeji zetu haoooo..............
Hivi Radio za Tabora Bado zipo?????
Walamboooooooooooo! Walambooooooooooooo!...................Hizo ni sauti za Tabora Boys Mechi kati ya Boys And Wanaume(Milambo).................
Hivi lile tukio la Girls kupigwa na Wanaume(milambo)mnalikumbuka?????????????????????????

jubwaaaa jubwaaaa sasaa anaingiaaaa bongee la mkwara nomaa sanaa hahahahaa
 
Back
Top Bottom