Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,203
- 5,064
Umbwe boyz 1990s
Mola wabariki walimu wetu pia na wazazi wetu dah nikikumbuka hewa safi dah natamani kukimbia huku darIna maana Umbwe Sekondari iliyokuwa inapambana na seminari miaka hiyo aikizi vigezo vyako. Sijui imewezakana vipi ile shule kufa lazima watakuwa walimu tu.
Umbwe ni mti safi wa matunda mema...........
Mandhari ya ile shule kwa kweli ilikuwa nzuri sana kama ingekuwa inafanyiwa maintance ndio ingekuwa na mazingira bora zaidi; culture ya wanafunzi kupenda kusoma ata pale walimu walipokosa, umeme usiku hakuna au chakula cha utata asilimia kubwa walikumbuka nini kimewapeleka pale. Itakuwa wameifanyia hujuma sana over the years mpaka leo imepoteza popularity.Mola wabariki walimu wetu pia na wazazi wetu dah nikikumbuka hewa safi dah natamani kukimbia huku dar
DahMandhari ya ile kwa kweli ilikuwa nzuri sana; culture ya wanafunzi kupenda kusoma ata pale walimu walipokosa au chakula cha utata asilimia kubwa walikumbuka nini kimewapeleka pale. Itakuwa wameifanyia hujuma sana over the years mpaka leo imepoteza popularity.
Kwa upande wa A-level bado zinafanya vizuri tu ...huwa hazionekani kuwa juu kutokana na vigezo na masharti vinavyotumika kupanga nafasi ya shule kitaifaImebaki historia kama Man U ya Ferguson.
Sasa hivi kuna kina;
1. Kaizarage
2. St. Francis
3. Marian
4. Feza
5. Cannosa
6. Aliance nk
Ndio hao hao wengi wao walitoka hizo shule 15 bora!Zinapaswa kujitathmini kama kweli ni bora kwa product zao chafu zilizotufikisha hapaViongozi hawa hawa walioshindwa hata kununua vitanda vya wagonjwa na madawati ya watoto?
Halafu kipindi kile nakuandikia barua shule huku nachora na kopa kubwa na kukupa ahadi kede kede bae unakumbuka? tumetoka mbali sana ujuee !Ifoza eti wameitosa!!! Shule bora kabisa ile.
kama shule yako haiku hapa jua umesoma shule ya kata..ovaHizi ndio shule bora Tanzania.
1.Mzumbe
2.Ilboru
3.Kibaha
4. Tabora Boys & Girls
5. Kilakala
6. Msalato
7. Milambo
8.Tosamaganga
9. Iyunga Tech
10.Ifunda Tech
11. Usagara
12. Pugu
13.Tambaza
14. Jangwani
15. Songea Boys