Shule Binafsi za Sekondari zipo hoi

Shule Binafsi za Sekondari zipo hoi

Hizo zitakuwa ni zile private takataka...si hizi nzijuazo mie.
Mambo yamebadilika. Miaka sita iliyopita watu walikuwa wanazikimbia shule za serikali wanagombania shule za private.

Hali imekuwa kinyume miaka hii na hasa mwaka huu. Sasa shule za serikali zimefurika wanafunzi wakati sekondari za private zina wanafunzi kiduchu.

Ukizingatia kwamba sekondari za private zina wawekezaji wababaishaji yaani hawaja invest wanategemea mapato kutoka kwenye ada ya wanafunzi.

Sasa kama una wanafunzi hawazidi 20 darasani maana yake hiyo shule inasuasua hata kama wanafunzi wanalipa ada kwa wakati.

Sasa huwa hawalipi kwa wakati na hivyo kuongeza tatizo.

Matokeo yake shule haziendesheki na hata kulipa mishahara walimu ni tabu tupu.

Matokeo yake ni kufeli wanafunzi na shule kukosa mvuto kabisa.

Hali ikiendelea hivi miaka miwli ijayo basi private secondary schools zitafungwa na zitabaki za kanisa tu.
 
Kweli nimeamini mbwa mpe jina baya Hili jamaa tangu lijibandike jina la "Mdanganywa" kweli linadanganywa! Shule gani ya Private imekosa wanafunzi?
Shule binafsi haziwezi kukosa watoto watu wanamudu kusomesha huko hela wanazo au siyo bhana
 
Back
Top Bottom