Shule Binafsi za Sekondari zipo hoi

Shule Binafsi za Sekondari zipo hoi

Hali ni mbaya lakini sio kwa kiwango hicho ...kilichobadilika ni ile kupunguza garama tuu ila waliokua private bado wapo private kama kawa
 
Mkuu sijakupata kabisa, nafikiri utakuwa unaongelea hizi shule za Secondary za kata aka CCM elimu kwanza aka Kayumba !!
 
Umelogwa na kichaa juu, rudia? Taja zilizofungwa kwa kukosa wanafunzi.
Hata kama ni hivyo, sababu ni IPI? Watu hawana hela kwa sababu ya mismanagement of economy by this regime
Wote mnaongea kitu kimoja sema mmepita njia tofauti. Source kubwa watu kukosa pesa. Nina ndugu yangu anatoa mtoto wake kutoka primary za ki inglish kwenda za kajamb@nani. Sababu fulusu.

Walumu private hawafundishi vizuri Kwa Moyo mkunjufu coz hawalipwi vizuri au Kwa wakati nowdays. Fulusu.
 
Kuna ka ukweli hapa.
Hali hii imetokana na wanafunzi wanaopata mikopo ya elimu ya juu ni wale waliosoma shule za Serikali, Pia ukata mkali huku mtaani nao unachangia wazazi kuwaacha watoto wao wasome shule za kata.
Wenzako wanalia kitanzi cha mikopo ya elimu ya juu wewe unawaza tena kusomesha au kusoma shule ya serikali kwa ajili ya mkopo? hivi ikiwa mzazi ameweza kulipa ada ya shilingi milion mbili kwa elimu ya msingi atashindwaje kulipa kulipa shilingi laki au milion moja laki moja kama tution fees chuo kikuu?
 
Kwani ni nini tafsiri ya kuwa wataishi kama mashetani.
 
Wewe jichekeshe eti unasomeshewa mtoto Bure !!!

Wengi waliokuwa wanasomesha watoto wao private wameshindwa kwa sababu vyuma vimekaza, watu wamefilisika!

Lakini najua baada ya muda watu watasimama tena! huu upepo mbaya utapita!
Unachekelea kusomeshewa mtoto bure wakati chuo ambako ni gharama zaidi unalipa mwenyewe
 
Umelogwa na kichaa juu, rudia? Taja zilizofungwa kwa kukosa wanafunzi.

Hata kama ni hivyo, sababu ni IPI? Watu hawana hela kwa sababu ya mismanagement of economy by this regime.
sasa hapo umekubaliana nae au umepingana nae!?
 
Umelogwa na kichaa juu, rudia? Taja zilizofungwa kwa kukosa wanafunzi.

Hata kama ni hivyo, sababu ni IPI? Watu hawana hela kwa sababu ya mismanagement of economy by this regime.
Watu hawana hela kwa sababu ya upimbi wa jpm! Usiwasanganye watu
 
Kweli nimeamini mbwa mpe jina baya Hili jamaa tangu lijibandike jina la "Mdanganywa" kweli linadanganywa! Shule gani ya Private imekosa wanafunzi?
Nyingi Sana labda wewe Kama uko nje ya nchi. Mfano kifai sec school kiluvya, perfect vision ubungo, mzinga sec banana, abc capital kinyerezi, right wing majumba sita n.k zote zimefungwa chini ya dictator magufuli
 
Back
Top Bottom