Kwa hivyo kukiwa na tatizo sehemu likimbiwe na siyo kutatuliwa?Hamisha mwanao mpeleke kwingine kelele za nini kwani umelazimishwa kusomesha private?
Solution ni yako individually na mwanao kama unaona gharama kubwa ondoa mwanao mpeleke shule za Bei nafuu mbona ziko kibaoKwa hivyo kukiwa na tatizo sehemu likimbiwe na siyo kutatuliwa?
Mijitu mingine ni hovyo sanaHamisha mwanao mpeleke kwingine kelele za nini kwani umelazimishwa kusomesha private?
Kwahiyo wote wakihamisha hizo shule zitabaki na ngedere?Solution ni yako individually na mwanao kama unaona gharama kubwa ondoa mwanao mpeleke shule za Bei nafuu mbona ziko kibao
Tatizo lako binafsi usiligeuze kuwa ni la kila mzazi
Maskini huwa hasomeshi mtoto shule ya private ya pesa nyingi. Hamisha mwanao hiyo shule sio Saizi yako katafute za saizi za kipato chakoMijitu mingine ni hovyo sana
Kwahiyo wote wakihamisha hizo shule zitabaki na ngedere?
Watu wanasomesha shule za Feza schools wanalipa milioni nane wewe unalalamika milioni mbili!!!! Vidole havifanani ondoa mwanao utashangaa unakuta wenzio kibao hawahamishi WatotoKwahiyo wote wakihamisha hizo shule zitabaki na ngedere?
Maskini huwa hasomeshi mtoto shule ya private ya pesa nyingi. Hamisha mwanao hiyo shule sio Saizi yako katafute za saizi za kipato chako
Kazana kutafuta hela mkuuWahusika wa wizara ya elimu mnaosimamia Kata, Wilaya, Mikoa na ngazi ya Taifa yaani Waziri, hili suala la shule binafsi za msingi kulazimisha watoto wa darasa la Nne na Saba kulala bweni ni halisi na linafaida kubwa kiwango cha kubadilisha maana halisi ya "Elimu ya Msingi" kuwa la lazima Tanzania??
Yaani mzazi analazimika kulipa fedha karibu mara 2 ya ada ya kawaida ya mwaka, mfano mathalani ada ni 1,500,000/= unalazimika kulipia 2,500,000/= kwa darasa la 4&7 hii imekuwa kawaida tu na wasimamizi wa elimu mnaliona hili. Elimu ya msingi ya Tanzania inakuwa hovyo sana na wasimamizi wanaangalia tu.
Natamani kusikia tamko la hili kama ni halali ama la kutokana na muongozo wa Wizara na sera zake zinazohusu sekta ya elimu.
Nawasilisha....
Leo umecomment pumbaSolution ni yako individually na mwanao kama unaona gharama kubwa ondoa mwanao mpeleke shule za Bei nafuu mbona ziko kibao
Tatizo lako binafsi usiligeuze kuwa ni la kila mzazi
Hili jibu haliwezi kutolewa na mwananchi!Hamisha mwanao mpeleke kwingine kelele za nini kwani umelazimishwa kusomesha private?
Okay lakini jaribu tena ku-revisit post yako kwa kuangalia vipengele hivi;Kama elimu ni gharama, jaribu ujinga uone gharama yake!
Sioni sababu ya kulalamika, maana kilia shule ina policy yake as far haivunji misingi na sheria za nchi! Hakuna sheria inayokataza shule kwamba wanafunzi wasilale bweni iwe darasa la kwanza, la pili au nne na saba kama ulivyosema!
Kwa kuwa lengo lao ni kujaribu kumsimamia mtoto afaulu vizuri sioni kosa lao!
Kama gharama kubwa kwako shule husika hamisha mtoto wako aende shule nyingine! Wanao afford gharama na wanaojua umuhimu wa elimu wataendelea kulipa ada.
Watanzania tunapenda kulialia sana hata vitu vinavyohitaji akili ya kawaida tu kufanyia maamuzi tunatupia serikali lawama!
Jiongeze mpeleke shule siyo size yako mhamishe mtoto au ukiona na huko kwingine ghali, mpeleke mtoto public schools gharama ndogo sawa na bure tu!
Tatizo lako kipato chako kidogoOkay lakini jaribu tena ku-revisit post yako kwa kuangalia vipengele hivi;
1-"Elimu ya Msingi" kwamba ni lazima aipate
2- Darasa la 4&7
3- Ada kupanda 1,500,000/=>>>>2,500,000/=
But be critical to the argument, from local to global....
Sasa YEHODAYA hapo kwenye jina lako hili weka "Wizara ya Elimu" kwamba ndiyo imejibu....Tatizo lako kipato chako kidogo
Hiyo shule sio Saizi ya kipato chako Hamisha mwanao mpeleke kwenye Saizi ya kipato chako
Watu wamevurugwa kila kitu wanaona utani anayejua umuhimu wa malezi ya wazazi kwa mtoto mdogo wa umri huo ameelewa umuhimu wa hii post ,tatizo lililopo nadhani ni kutokana na kwamba mtoa post kagusia suala la gharama za ada na bweni ss tunawaza tu pesa hatuangalii misingi mingine ya maisha kwa mtoto.Jamaa ana hoja nzuri sana ila anajibiwa majibu ya kipumbavu
😀😀Mijitu mingine ni hovyo sana