Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,004
- 12,478
Mkuu hakika sina haja ya kukudanganya kabisa.Uongo mrahisi kabisa
Nilinunua kisimbusi cha azam mkoani toka mwezi wa 2 hakijalipiwa maana wenyewe wanapenda kuangalia habari tu na channel za dini.
Katika list ya channel za radio ambayo haishiki ni kings fm na radio nyingine hazizidi 4 zipo kule chini chini.
Channel za bure kwa ujumla wake ni zaidi ya 30