Licha ya Azam Kuonesha NBC Premier League Lakini Imeachwa mbali sana na Star times kwa Wateja wa Visimbuzi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,836
Hello!

Azam licha ya mbwembwe na makelele mengi ila kumbe inapigwa mbali sana Kwa wateja wa Visimbuzi na Star times..

Kumbe huenda watu wengi sio wapenzi wa mpira kama tunavyodhania hasa Ligi ya Bongo.

Binafsi ni mteja wa dstv na Azam Kwa sababu ya mpira ila nilikuwa sijui kama Star times Ina wateja mara 3 ya wa Azam na dstv ndio kama hamna kitu kabisa..

Swali huko Star times Kuna nini hasa kiasi kwamba watu wanaipenda kiasi hicho?

Takwimu rasmi kutoka TCRA hizi hapa 👇

Star times inatumiwa na watu wengi kwa kuwa gharama ya vifurushi vyake sio kubwa na pia wanalipa hadi kwa siku
 
Ainisha hapa Kwa mfano gharama za vifurushi vyao tuone.

Pili kumbe watu wengi sio wapenzi wa mpira na hata wakiangalia mpira ni kwenye vibanda umiza.
 
Star times ni mkongwe zaidi ya Azam? Huduma zao zikoje?
Wakati azam tv iko na miaka 10 startimes ipo hata kabla ya kanumba hajafa na alikuwa ni brand ambassoder wakati tunatoka analogy kuingia digital startimes kilikuwa ni kisimbuzi cha kwanza

Ukija bei kisimbuzi cha azam tv kina bei kubwa kuliko hivyo vyote yan azam tv bei ya kisimbuzi cha antena unapata startimes cha dish kabisa

Watu waikwepa dstv sababu ya bei za vifurushi
 
Hapa Sasa nimekupata
 
Uwe unaandika kwa kujitambua

Wakat tunahamia digital king'amuzi kilikuwa star time pekee na wale wakenya zuku na kwa bahati nzur star tume akawa na garama nafuu
So familia maskin za dar es salaam 90% wakachukua star time na usisahau Dar ndi ina watu

So kushangaa why star time ina watumiaje wengi ni ujinga
 
Acha upumbavu wewe desperate niga
 
Hello!

Azam licha ya mbwembwe na makelele mengi ila kumbe inapigwa mbali sana Kwa wateja wa Visimbuzi na Star times..

Kumbe huenda watu wengi sio wapenzi wa mpira kama tunavyodhania hasa Ligi ya Bongo.

Binafsi ni mteja wa dstv na Azam Kwa sababu ya mpira ila nilikuwa sijui kama Star times Ina wateja mara 3 ya wa Azam na dstv ndio kama hamna kitu kabisa..

Swali huko Star times Kuna nini hasa kiasi kwamba watu wanaipenda kiasi hicho?

Takwimu rasmi kutoka TCRA hizi hapa 👇

Kitendo cha azam kuwakuta wote kwenye soko na kuwa wa pili mpaka sasa tena akiwa mwekezaji wa ndani si kitu kidogo.
Azam anajua biashara
 
Kila mwaka Azam anaongeza idadi ya wateja. Hivyo usimchukulie poa.

Ingawa kwa kiasi fulani, Azam ya sasa ni tofauti kabisa na ile Azam ya mwanzo. Hii Azam ya sasa imekaa kimaslahi sana, wakati ile ya mwanzo ilikuwa imekaa kihuduma zaidi.
 
Nani haongezi?
 
Lakini ukiangalia trend unaona AZAM anakua kwa kasi kuliko Startimes.

Mwaka 2020

Azam 600k

Startimes 1.8m

2021

Azam 800,000/=

Startimes 2.01m

2022

Azam 970k

Star 2.017m

After miaka mitano ya uwekezaji azam anampita mkongwe Startimes....
 
Back
Top Bottom