Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
- Thread starter
-
- #81
Vin Diesel :A S 103:Nilidhani mwaamkia kumoja kila siku.....
ahahahaaaaaaaaaa...............kausha basi KOKUTONA
ni kama pakacha livujalo.....haliwezi jaa.
Nimemmiss sana charminglady......naomba umtafute please....
Until the end of time.....
Until sun stops to shine.
Haya haya Vin Diesel
Haya haya Vin Diesel
Ila namshikilia na mambo mambo mengine yanaendelea kufanyika akija huku na kitumbo usilalamike
Until lemons turn sweet.....
Mamndenyi hebu kuja pande hizi uone Vin Diesel alivyokuchoka aiseHuku nafasi imejaa mkuu....umefanya jambo jema sana kunisaidia hapo....we jaza vitumbo hata mia
Mr Rocky punguza pressure, mali umepewa bure bado unahaha.........tuliza machine hiyo fanya kazi ulopewa, kuingiza tumbo kwataka utulivu.Mamndenyi hebu kuja pande hizi uone Vin Diesel alivyokuchoka aise
copy kwa KOKUTONA na Erickb52 na Arushaone
Mr Rocky punguza pressure, mali umepewa bure bado unahaha.........tuliza machine hiyo fanya kazi ulopewa, kuingiza tumbo kwataka utulivu.
Tuache tupumue......tule vyetu......lol.......maisha mafupi ati.
Mi nishawaacha KOKUTONA na Vin Diesel muendelee na starehe zenu mimi naendelea kumtuliza Mamndenyi hapa angalau aondoe machungu
copy kwa Erickb52 na Arushaone