Shukrani kwa wana MMU na CC!!

Wasiliana na mwenyekiti wangu Mwanyasi na katibu wetu KOKUTONA....

Mie nimerudia cheo changu cha mstaafu....

Unalo la ziada??

Babu DC!!
mimi mstaafu mwenzio je nitapokelewa? kwa sharti kwamba lazima bibi pia awepo, lol!
hongereni sana babu kwa kazi nzuri......... nilitamani sana hiyo safari lakini sikuweza kupata fursa hiyo..... naamini kwenye kale kamsemo there is always next time.....
 
Pamoja sana Babu Dark City......

Nakushukuru sana na pia kufurahi kusikia wageni walokuja TA wamerudi salama na Roho zao make nilikuwa nina wasiwasi sana hasa kwa my lovely daddy watu8..... Vibinti vya RChuga havikuwa na wema hata kidogo... Havikawii kunrestisha my mummy measkron kwa puresha!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

What a great speech babubyetu Dark Cty.

Umeplay part kubwa sana babu, saana yani. Mungu akubariki na azidishe karama na upendo ndani ya moyo wako.

Tunakupenda saana babu.
 
Last edited by a moderator:


Wewe na mimi tena @FP,

Hata bibi asipokuwepo, we are harmless kama nyuki wa mashine...wao kazi yao kulamba unga tu...hawaumi hata siku moja (Copy rights, Lily Flower)!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
What a great speech babubyetu Dark Cty.

Umeplay part kubwa sana babu, saana yani. Mungu akubariki na azidishe karama na upendo ndani ya moyo wako.

Tunakupenda saana babu.

Ahsante sana katibu wetu KOKUTONA...

Najisikia faraja kuwa na wajukuu ambao ni majembe ya uhakika....

Sina hata jinsi ya kumshukuru Mungu.....

Tuzidishe umoja na ushirikiano kwa sana....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana katibu wetu KOKUTONA...

Najisikia faraja kuwa na wajukuu ambao ni majembe ya uhakika....

Sina hata jinsi ya kumshukuru Mungu.....

Tuzidishe umoja na ushirikiano kwa sana....!!

Babu DC!!

Wooow! My heat is trembling with inner happiness.

Tupange siku ya kuonana sasa babu tufanye kweli
 
Ila umwambie apunguze uchokozi kwa babu......babu ni mstaafu wa kweli!

Ndo maana nimemweleza kuwa kwanza apate ushauri wa kale kabinti katukutu, Madame B!!

Babu DC!!

Tutampa somo babu shaka ondoa.
Madame B upoooo, kazi hiyo babu ametoa.
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh,

Mkuu ndo unajua saa hizi??

Watu wameshaanua matanga ndugu!!

Babu DC!!

hapo kweli kulikuwa na ujio mkubwa na heshima kwenu wenyeji kwa kuwakarimu wenzetu...
vipi kongosho naye alikuwepo ?
simuoni humu jamvini toka msimu huu wa sikukuku umeanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…