JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 506
Wapendwa, habarini zenu? Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya wa 2011. Sikupata nafasi ya kuwaambia hivyo kutokana na kutingwa na mambo mengi.
Pia, napenda kuchukua fursa hii kuwashukuruni wote mlionipa support kipindi cha msiba wa baba yangu mpendwa. Kwa kweli nilifarijika sana na salamu za pole/rambirambi kutoka kwa WanaJF walioko sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tz.
Baba alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu kiasi kuanzia mwezi wa saba. Sisi kama familia tulipokea ugonjwa wake kwa mikono miwili na kumpa huduma ipasavyo. Hata hivyo Mungu alimpenda zaidi na akamchukua tarehe 31 Dec. 2010 usiku tukijiandaa kupokea mwaka mpya.You can all imagine how bad it was. Tulimaliza shughuli zote za maziko salama.
Jana jioni nilipata fursa ya kukutana na baadhi ya WanaJF, nilifarijika sana kuwaona. Kwa kweli through JF I have made myself true friends whom I can count on everything. Asanteni sana Teamo, MJ1, the Finest, GY, LD, Asprin, Acid, St. RR, Askofu, Bigirita, Kimey, Maty, FL1, Dark City, Pearl, Lizzy na wengine wote ambao sijawataja. Na namaanisha WanaJF wote whether nakufahamu in person au sikufahamu, nakushukuru sana. Na poleni kwa wale ambao hamkupata taarifa mapema lakini msijali najua deep down in your hearts hamkupenda iwe hivyo.
Mungu awazidishie baraka tele. Tuendelee na moyo huo huo wa kuwa marafiki wa karibu wakati wa shida na raha. Nawapenda sana.
With much love and appreciation,