Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
basi nikamwambia pacha wako na unamjua na upole wake akaniambia BAK umekosa omba samahani yaishe, sasa mie nikamwambia samahani siombi maana sioni kosa langu lol!!!! acha atake kuangusha mchozi hahahahahah akaanza kunitafsiria sheria za JF ili nilielewe kosa langu utadhani na yeye ni MOD lol!!!! mpaka nikamuonea huruma dah!!!! lakini namshukuru sana yeye na wote waliohusika katika kupunguza kibano changu.
Hahahahahahahaha umenichekesha pacha wangu hapendi kabisa makuu ndio maana alikua anajaribu kukupa review ya sheria na huenda ilibaki kidogo Fixed Point akuombee msamaha , chezea nguvu ya upendo wewe hata kama usingekua na kosa pacha angekwambia omba msamaha tu ili yaishe. Sio siri BAK wengi tulikumiss aisee, sijui inakuwaje unaposikia habari mbaya wala hupendi kuamini ,unajua sikutaka kuamini
pacha wangu na rafiki yangu mnajua mimi ninavyopenda amani na furaha......LoL!!!! Mie nina wasiwasi aliomba samahani mara nyingi tu kwa MODS ππ, ngoja aje hapa afunguke...Yaani pacha wako Mhhhhh!!! ni mpole kupita kiasi dah!!!!! Yeye ataomba samahani hata pale ambapo hastahili kuomba samahani au atakwambia ahaaaa acha tu nipotezee hiyo badala ya kuumiza kichwa changu bure....Kuna binadamu wengine Mungu kawajalia sana na huyu pacha wako ni mmoja wao. Mie niliwamiss wengi pia...unajua JF imeshakuwa kijiwe maarufu sana chenye burudani za kila aina na ni shule pia ya aina yake.
farkhina alimpa BAK account yake awe anaingia!Habari hii ilinishtua sana maana kaka ungeingia huko PM sijui ingekuaje!Najua habari hii watu8 pia imekushtua mno ahahahaWelcome back brother...it feels good to have u back
farkhina alimpa BAK account yake awe anaingia!Habari hii ilinishtua sana maana kaka ungeingia huko PM sijui ingekuaje!Najua habari hii watu8 pia imekushtua mno ahahaha
Maneno yaliyopo huko na ungeyasoma nina uhakika ungewaona baadhi ya vidume hapa ni hovyo hovyo kabisa!
Ungekutana na ahadi kuwa farkhina nitakununulia RAV 4 kumbe jamaa mwenyewe BAK unamjua anapiga ngondi kwenda kazini ahahaha!
pacha wangu na rafiki yangu mnajua mimi ninavyopenda amani na furaha......
yaani kama amri yangu sipendi kabisa kuwa na tension kati yangu na yeyote.
nikiona kuna kitu kama hicho mapema sana napenda kurekebisha, that is me, siwezi kubadilika....
Pacha hiyo ni nzuri unajua ukiwa mtu wa amani hata umri hausongi miaka yaongezeka lkn mwili haubadiliki. Naona lile somo la tafuteni kwa bidiii kuwa na amani na watu wote limekuingia hongera sana. Tena nakuombea uzidi kuwa na amanipacha wangu na rafiki yangu mnajua mimi ninavyopenda amani na furaha......
yaani kama amri yangu sipendi kabisa kuwa na tension kati yangu na yeyote.
nikiona kuna kitu kama hicho mapema sana napenda kurekebisha, that is me, siwezi kubadilika....
farkhina alimpa BAK account yake awe anaingia!Habari hii ilinishtua sana maana kaka ungeingia huko PM sijui ingekuaje!Najua habari hii watu8 pia imekushtua mno ahahaha
Maneno yaliyopo huko na ungeyasoma nina uhakika ungewaona baadhi ya vidume hapa ni hovyo hovyo kabisa!
Ungekutana na ahadi kuwa farkhina nitakununulia RAV 4 kumbe jamaa mwenyewe BAK unamjua anapiga ngondi kwenda kazini ahahaha!
farkhina alimpa BAK account yake awe anaingia!Habari hii ilinishtua sana maana kaka ungeingia huko PM sijui ingekuaje!Najua habari hii watu8 pia imekushtua mno ahahaha
Maneno yaliyopo huko na ungeyasoma nina uhakika ungewaona baadhi ya vidume hapa ni hovyo hovyo kabisa!
Ungekutana na ahadi kuwa farkhina nitakununulia RAV 4 kumbe jamaa mwenyewe BAK unamjua anapiga ngondi kwenda kazini ahahaha!
heheh...hatari sana mkuu
Teacher hata na wewe pia?
BAK sasa tule dili bana
we mods wamekusamehe na mi nisamehe bathi mweeee mekumithi mwendhio!
hata jina la teja siku hiz nimelithahau!
leo simwiti Fixed Point! tuyamalize wenyewe!
lol!af tatizo ulininunia hata kabla hujanifundisha kuwekamo nyimbo unaona sasa hata siwezi kukudediketia!