Shukrani kwa marafiki

Kwi kwi kwi kwi halafu si unajua watu walivyokuwa na 'bistola' siku hizi, hawakawaii kukudedisha kisa umemsarandia mrembo wao lol!!!! Mie simo 🙂🙂
Huyu naona anatafuta makuu watamuilala au kumuufoo shauri yake.
 
Reactions: BAK
Nahhhhhh!!!! bado wako wengi banaaaa....Kama Mkuu Mbu, Rocky na wengine wengi tu. Endelea kubaki katika kundi hilo la "Wasamaria wema"...stay far away from sincity "name calling" lol!!!! hahahahahah

Basi na wewe enenda kwa amani wala usitende dhambi tena...!

Uishi kama mtoto mdogo ukiulizwa na watu, 'ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?' Wewe use me, 'nataka kuwa kama Mentor au Mbu au Mr. Rocky'

Sawae!??
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi misamiati inazidi kuongezeka tu lol!!!! hapo watamuilala ulikuwa umeniacha kwenye mataa kisha ndio nikakumbuka unamaanisha nini. Hii kuruhusu silaha kupatikana kirahisi nchini imeleta shida sana. Serikali ya awamu ya tatu ilipoamua silaha zipatikane kirahisi nchini watu walilisema hili kwamba silaha hizo nyingi zitatumika vibaya na kutoa mifano ya US ambako bunduki, bastola zinapatikana kirahisi mno. Sasa maafa ya kutisha kwa kutumia silaha hizo nchini ambayo miaka ya nyuma hayakuwepo yanaongezeka kwa kasi ya kutisha.

Huyu naona anatafuta makuu watamuilala au kumuufoo shauri yake.
 
Karibu tena jukwaani mkuu BAK nilijua tu ban yako itakuwa kwa sababu ya misimamo yako tu,
Mimi sana nachezea ban hapa kuna mods wana nongwa humu acha tu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hahahahaha lol!!!! Kule jukwaa la siasa Mkuu ni kazi sana. MACCM wamewamwaga wapumbavu kule kuandika pumba siku nzima ambazo hazina kichwa, miguu wala mkia. Wanaudhi sana kusema kweli. Miaka ya nyuma kabla hao buku 7 JF ilionekana kama ni ukumbi wa CHADEMA lakini ukweli ni kwamba wanachama wengi hapa wamechoshwa na madudu yanayofanywa na MACCM kwa miaka chungu nzima miaka nenda miaka rudi. Hakuna hata moja ambalo Watanzania tunaweza kusema hili tuna afadhali pamoja na utajiri mkubwa uliokuwepo nchini. Sekta ya afya, elimu, usafiri, uchumi, huduma muhimu kama vile maji na umeme ni madudu tu halafu wapumbavu ambao wanajifanya kama hawaoni matatizo chungu nzima nchini wanakuja kutetea hii Serkali dhalimu!!!! Yaani we acha tu Mkuu lakini wengine bila kuingia kule huwa tunaona kama hujaingia JF.

Basi na wewe enenda kwa amani wala usitende dhambi tena...!

Uishi kama mtoto mdogo ukiulizwa na watu, 'ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?' Wewe use me, 'nataka kuwa kama Mentor au Mbu au Mr. Rocky'

Sawae!??
 
Naam Mkuu watu wanakuja kuanzisha uzushi kila leo hawana ushahidi wa aina yoyote kusupport kile wanachoandika lakini hawaonywi kwa kuanzisha uzushi na threads zao zinaachwa tu. Waliporuhusu watu kuanzisha uzi kwa kile kinachoitwa "Tetesi" nilijua tu watu watatumia hizo tetesi kuandika kila up-pu wanaoweza kuandika hapa jamvini.

Karibu tena jukwaani mkuu BAK nilijua tu ban yako itakuwa kwa sababu ya misimamo yako tu,
Mimi sana nachezea ban hapa kuna mods wana nongwa humu acha tu.
 
Hahahahaha lol!!!! Watu wenye uzoefu na mabinti wa Tanga SKA vijungu vuche SCOBA makunyuu utawajua tu 🙂🙂 hawakosi kuzungumzia maraha yao waliyoyapata mitaa ya Tanga kunani.

Ha ha ha...mi nikajua umepata jimama la Ki-Tanga, limekuficha ndani; Mpaka msalani lakubeba mgongoni kukupeleka. Lakukogesha pia, na visosi vya vikombe kedekede mliwatoni, sijui vya nini!. Ha ha ha, karibu tena bhana!.
 
Pole sana mkuu BAK
Pamoja for life
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Mkuu BAK inabidi usherehekee kwa kucheza ile ngoma ya kugaragara kwenye mavumbi kama ya yule mama mbunge wa Songea alivyofanya jana
 
Reactions: BAK
Hata mimi nilishawahi kukaa lupango wiki mbili baada ya kumtaja HamyD=Mwigullu
 
Reactions: BAK

Mimi nikishinda huku siku moja tu nahisi siku hiyo hiyo nitapewa ban! Huwa napenda kuingia huko kama guest...la sivyo si ccm si chadema wote wanaudhi, wanakera..very iimature politicians we have i tell you!
 
Mimi nikishinda huku siku moja tu nahisi siku hiyo hiyo nitapewa ban! Huwa napenda kuingia huko kama guest...la sivyo si ccm si chadema wote wanaudhi, wanakera..very iimature politicians we have i tell you!
Mentor mimi na wewe hatutofautiani aise nikienda kule siku nzima lazima nitoke na ban maana kuna watu wanaudhi mbaya wanatetea hata ambavyo havifai kutetea sasa unajiuliza nikijibu hapa si lazima niweke na tusi unaamua bora uishie zako MMU au chit chat stress free zone BAK anaweza kujibizana nao ila sasa ukienda sana unaweza kujikuta umepewa kifungo aise
 
Last edited by a moderator:
BAK sasa tule dili bana
we mods wamekusamehe na mi nisamehe bathi mweeee mekumithi mwendhio!
hata jina la teja siku hiz nimelithahau!
leo simwiti Fixed Point! tuyamalize wenyewe!
lol!af tatizo ulininunia hata kabla hujanifundisha kuwekamo nyimbo unaona sasa hata siwezi kukudediketia!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…