Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
hatari sana shekhe......
Ndio kusema maaskofu wanaopigania ndoa za jinsia moja tena mbele ya mazabahu..wameruhusiwa na biblia...??
Kuna watu wengine hutumiq dini kufanikisha mipango yao....
Cha msingi ni kusoma kitabu cha imani yako na kufuata yale ambayo ni mazuri...na sio kufuata mawazo ya wengine wakiwa na malengo tofauti na Muumba....
Weka bas hiyo video tuwaone na hao maaskof wanaopgania ndoa za jinsia moja hadharan mkuuNdio kusema maaskofu wanaopigania ndoa za jinsia moja tena mbele ya mazabahu..wameruhusiwa na biblia...??
Kuna watu wengine hutumiq dini kufanikisha mipango yao....
Cha msingi ni kusoma kitabu cha imani yako na kufuata yale ambayo ni mazuri...na sio kufuata mawazo ya wengine wakiwa na malengo tofauti na Muumba....
Kama makalio wanawake wenyewe ndio wanachochea sisi kuyapenda!
Wanayatingisha na kuyabana ili tuuatamani!
Ninachojua mkuu....ni kwamba kwa mujibu wa sisi watu wa imani peponi ni mahala pazuri kwa wacha MUNGU...na kuna mambo mazuri kwa ajili ya mahitaji ya mwanadamu yakiwamo ya kimaumbile....Nimekusoma mkuu kwa hiyo huyu kapotoka siyo? hebu tupeni ukweli juu ya hii mizigo.
Lengo si kuweka ubishani wa kidini na mtu yoyote.....bali ni kutaka kuwakumbusha wanajamii wenzangu kuwa kuna watu au viongozi wa kidini huwa wanatafsiri maneno au vifungu vya vitabu vya MUNGU kwa malengo yao....huko peponi anapopazungumzia huyo sheikh kipoozeo kuna mambo mengi mazuri kwa mujibu wa vitabu....vikiwemo mito ya asali na maziwa....pamoja na vingine vingi vyenye kupendeza..kwa kuwa muumba amepaandaa mahali hapo kwa ajili ya pumziko la waumini wake...baada ya mitihani ya ulimwengu uliojaa fujo za kila namna....bado sijaona mantiki ya huyo anayejiita sheikh kukazania hapo tu kwenye wanawake wenye makalio makubwa..labda pengine ana malengo yake au kuna watu amewalenga....siwezi kuweka video inayoonyesha hao maaskofu kwa kuwa lengo si kuleta ubishani wa kidini kwani najua kuwa hao hawawakilishi kitabu cha KITAKATIFU bali hufanya vile ambavyo nafsi zao zimewatuma kwa utashi wao....MUNGU aliyeiangamiza SODOMA NA GOMOLA hawezi kuwa mnafiki wa leo hii kuruhusu watu wafanye kitendo kilekile....wakati tuendapo kwenye nyumba za ibada tubebe na akili zetu zote....sio unaenda na kiwiliwili ambapo mwisho wake unapokea mawazo binafsi ya watu badala ya neno la MUNGU.....Weka bas hiyo video tuwaone na hao maaskof wanaopgania ndoa za jinsia moja hadharan mkuu
Ya kimaumbile Kwa sisi wanaume tu?Ninachojua mkuu....ni kwamba kwa mujibu wa sisi watu wa imani peponi ni mahala pazuri kwa wacha MUNGU...na kuna mambo mazuri kwa ajili ya mahitaji ya mwanadamu yakiwamo ya kimaumbile....
Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani.
Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa kuigwa.
Hatari sana.
Hata wanawake mkuu....kwa sababu peponi hakujawekwa kwa ajili ya wanaume tu.........Ya kimaumbile Kwa sisi wanaume tu?