Shujaa wa gesi aliyepigwa risasi-rip mr.karim

Shujaa wa gesi aliyepigwa risasi-rip mr.karim

mpasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
919
Reaction score
2,007
Huyu kijana wana mtwara tukishinda suala la gesi tutajenga mnara kumuenzi..............
 

Attachments

  • hakika.jpg
    hakika.jpg
    50.1 KB · Views: 3,671
R.I.P Kaka, ila wanamtwara msikate tamaa kila kitu kina side effect.
 
amekufa kwa ujinga wake mwenyewe
Hapa tu ndipo panaponifanya niamini Ccm wana mioyo ya mapepo. Hata kwenye msiba hawajali, Mtu huyo kavaa kijani ni Kada wenu Bado mnamtukana., kiburi Cha uzima..hivi nani achore kibonzo kikionyesha Askari anafyatulia wananchi risasi hiku ccm iko juu ya mtutu wa bunduki ikipunga hewa mwanaaaana..
 
Huu mgogoro wa gesi kumbe walio mstari wa mbele ni wanachadem? Naona mshikaji kanyosha madole mawili kwa ishala ya chadema,sasa napata picha nyingine.
 
Vijana wa Tanzania wanavyotumiwa kuleta vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa mali sababu tu hawajitambui,Ona hata humu JF wajinga wanavyoshabikia vurugu za Mtwara.Kijana aliekufa alikuwa anategemewa na watu wangapi leo kapoteza maisha kwa jambo ambalo halina faida kwake, wachochezi wako salama yeye anaambulia R.I.P.!Dhamana ya Taifa hili iko mikononi mwetu Vijana hivyo tusitumike vibaya tujitambue, Tafakari chukua hatua sahihi.
 
amekufa kwa ujinga wake mwenyewe

Wewe si unalipwa hela kwa kutuma upuuuzi umu huwezi tambua juhudi za watu maskini kupigania rasimali zao ziwape walau mlo wa kila siku .....laana ya hii na wewe utakufa nayo.
 
Back
Top Bottom