Kwa mungu kila kitu kinawezekana, lakini kwa mwanadamu si hivyo, umpe afya njema ee mola mwenzetu huyu, aweze kusimama wima na kutetea watu wako e mungu mkuu,
tazama e bwana, kama watu wako uliowapaka mafuta akina mwakyembe, lisu na wengine hutawapa nguvu na kuwatia mpyo, adui zetu watajidai na kujipiga kifuani wakisema tazama watu hawa tumewashinda , licha ya kuwa wanalitaja jina la bwana mungu wao
uwe upande wetu na uliokoe taifa lako ee mungu mkuu mno