Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Sasa haeleweki hiyo kamba iliyokatika na kumchapa shujaa ilikuwa wkt gani wkt anafungua mlango ili abiria watoke au baada ya kushindwa kupasua kioo kumuokoa muongoza ndege?
Cha ajabu ni kwamba miongoni mwa watu wote walioshiriki uokozi ni shujaa pekee ndiye aliyefuatwa kuhojiwa na TBC
Hapa hatujadili bahati bali wale watu 23 waliokolewa na shujaa mmoja?Sawa ila ndo Bahati imeangukia kwake
Hivi na wewe unawaamini kabisaSikiliza kwa makini mahojiano yote aliyofanya huyo bwana mdogo, maana kaeleza A to Z...
Alichapwa na kamba ambayo ilikuwa inatumika kufunga mkia wa ndege ili ianze kuvutwa na raia waliojitolea kutaka kuivuta ndege kwa kamba...
Alipohojiwa mara ya mwanzo akiwa na lile sweta lake la orange, uso wake ulikuwa umevimba upande mmoja maeneo ya shavuni kuelekea jichoni, kama mtu aliyechapwa kibao au komde zito...
Kamba hiyo ilikatika na principle ya action=reaction ikatake effect hivyo impact ya kamba ikaishia usoni kwake na akazimia na kuishia majini, na alipozinduka alijikuta yupo hospitali...
Hadi anafikishwa hospitali ilikuwa inaaminika naye ni manusura wa ajali, hivyo waandishi wa habari walipoanza kupita kuhoji ndipo akawaambia kisa chake kwamba alikuwa ni mmoja wa wavuvi...
Kama unakumbuka idadi ya abiria ilikuwa haieleweki kama ni 43, 44 au 45 sababu ya hao majeruhi waokoaji kama Majaliwa...
Lakini watu wakijua ukweli ni vizuri pia kuliko kudanganywaImebaki story na kambini hawezi toka
Uko sawa kichwani au umejaza kamasi! Tumia akili kama zipo hicho kichwa kina kazi zaidi ya kubeba hizo nywele!Sasa wewe ndo mpumbavu zaidi na usiye jitambua kabisa
Wivu wa nn Sasa hamtaki watu wafikirie nje ya box[emoji3061]Wabongo kwa wivu n namba moja dunian
Kwenye maisha kila mtu ana bahat yake mkuuWivu wa nn Sasa hamtaki watu wafikirie nje ya box[emoji3061]
Huu mjadala sio wa wavuvi tu, wao pekee hawana hati miliki ya kujadili kilichotokea ktk ajali ile every free minded individual ana haki ya kutoa maoni katika ile ajali.Wewe ni mvuvi!?
Kama ndio hebu tueleze wewe kutoka 'site' alichofanya Majaliwa ili tuone hayo madhaifu yake.
Kama sio mvuvi kwenye ile ajali..tulia!
Tunataka wavuvi husika walalamike, sio nyie wakaanga mbuyu.
Ndo tumpe Pongezi Shujaa huyoHapa hatujadili bahati bali wale watu 23 waliokolewa na shujaa mmoja?
Acha kuwa mvivu wa kufikiri Nani amuonee wivu mtu ambaye ajira yake basic ni laki 5,6au7?Hizi zote ni dalili za wivu tu. Binadamu huwa tuna hulka ya wivu kwa wenzetu wakifanikiwa sijui tukoje?, Mwacheni mtoto wa watu. Unaposema maswali ni mengi kuliko majibu, si ujibu wewe sasa kama unayo majibu?
Watu ambao sehemu kubwa ya maisha yao wanayatumia ziwani wanajua mambo mengi sana kuhusu hayo maji na viumbe vilivyomo ndani ya maji !!Na hayo yote aliyawaza kabla ya kuamua kujitoa mhanga eeh?
Na hapo ndipo mliopofumbwa sasaSikiliza kwa makini mahojiano yote aliyofanya huyo bwana mdogo, maana kaeleza A to Z...
Alichapwa na kamba ambayo ilikuwa inatumika kufunga mkia wa ndege ili ianze kuvutwa na raia waliojitolea kutaka kuivuta ndege kwa kamba...
Alipohojiwa mara ya mwanzo akiwa na lile sweta lake la orange, uso wake ulikuwa umevimba upande mmoja maeneo ya shavuni kuelekea jichoni, kama mtu aliyechapwa kibao au komde zito...
Kamba hiyo ilikatika na principle ya action=reaction ikatake effect hivyo impact ya kamba ikaishia usoni kwake na akazimia na kuishia majini, na alipozinduka alijikuta yupo hospitali...
Hadi anafikishwa hospitali ilikuwa inaaminika naye ni manusura wa ajali, hivyo waandishi wa habari walipoanza kupita kuhoji ndipo akawaambia kisa chake kwamba alikuwa ni mmoja wa wavuvi...
Kama unakumbuka idadi ya abiria ilikuwa haieleweki kama ni 43, 44 au 45 sababu ya hao majeruhi waokoaji kama Majaliwa...
Hebu elezea hasa wewe unataka nini juu ya Majaliwa,Na wewe ukaamini kwamba majaliwa aliongea na rubani chini ya maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Black Box ndio itasema shida ilikua nini na baada ya hapo hatua stahiki zitafuata,Something is cooked something ili wenye upeo mdogo msifikirie nje ya box
Leo mjadala mkubwa ni shujaa majaliwa na sio uwajibikaji wa wenye dhamana ktk ajali ile.
Watu kama nyie mpo wengi humu vichwa ni vigumu kufunguka[emoji21]
Inasemekana mhudumu wa ndege na wengine humo ndani walikuwa wakiulazimisha kwa kuusukuma au kuugonga ili ufunguke ! Huenda Dogo alipoona umepatikana upenyo wa kutumia kasia lake ndio akalitumia kusaidia huo mlango ufunguke !! Jitihada za kuufungua mlango zilianzia ndani ya ndege sio nje ya ndege. !!Kwanza mlango wa ndege hufunguka kuelekea mwelekeo wa nje, kitu ambacho si rahisi kuuvunja kwa kutokea nje tena kwa kuugonga kwa kutumia kasia. Basi tuseme kasia lilikua zito na imara na mtumiaji alikuwa jitu lenye nguvu mingi aliyeshika kasia na kuutwanga mlango wa ndege mpaka mlango ukabondeka na kufunguka.
Swali: Mbona ndege ilipovutwa ukingoni mwa ziwa mlango wa abiria unaonekana ni mzima kabisa na hauna ata mikwaruzo au ubonyevu wowote?
Binafsi sina chuki wala wivu na dogo Majaliwa ila akili yangu huwa haipokei pasipo kujiridhisha
Mbona kila anayetoa mawazo mbadala mnafikiri anamuonea wivu majaliwa kwa ajira yake ya mchongo aliyoipata, kwa ajira gani hasa Hadi watu na akili zao wamuonee wivu?Hebu elezea hasa wewe unataka nini juu ya Majaliwa,
Aachishwe kazi katika jeshi la Zima moto, Arudishe pesa alizochangiwa, au una wazo gani funguka
Na wewe unaamini majaliwa aliongea na rubani wa ndege[emoji3061]Kwa uelewa wangu mdogo, iko ivi MAJALIWA alisaidia mlango kufunguka huku watu waliokuwa ndani ya ndege nao wakipambana kufungua (maana sidhani kama wangeweza kufungua wenyewe na forc me ya maji yaliopo ndani nanjee) hivyo alivyo fanikiwa kupamiza mlango na kufunguka kwa vile alikuwa na wenzie kwa mtumbwi mdogo akawaacha watu waendelee kutoka ndo akaelekea kwa rubani kumsaidia na ndipo alipoopa vifaa vya kumsaidia kuvunja kioo cha pilot ikashindikana, ndipo rubani akamwelekeza afungue mlango wa emegence na ndipo alipo patwa na tatizo adi akajikuta hospital kutokana na iyo kamba kuachia na kumpiga uso.
Ila stori inawalakin maana waliokuwa ndani wanasema muhudumu wa ndege ndo alifungua mlango je kama ni kweli mbona wanasema amefariki? Ivyo alifungua alafu akarudi ndani tena au?
Kuamini au kutoamini ilo ni jambo lingine, lkn swala la mazungumzo lugha iliyotumika ni lugha ya ishara na akaelewa rubani anahitaji msaada gani.Na wewe unaamini majaliwa aliongea na rubani wa ndege[emoji3061]