Shuhudia Mwenyewe: Ukishamaliza kumuogopa Mungu iogope hii kitu inaitwa sayansi na teknolojia

Ndio maana mkuu nikaleta hii thread hapa tujue ukwel uko wapi
Tatizo la Tanzania tuko nyuma mno. Cctv systems ni mifumo mipya kwa walio wengi, na kuzitafsiri kunahitaji anayezijua. Footage za CCTV huwekwa kwa flash disc au Hard disc kwa utunzaji na uonyeshaji. Picha ya CCTV ukiipiga picha ya mnato lazima ionyeshe zile characters za machine iliyozirecord.
Nilitegemea mtu angechukua flash yake na machine yoyote,(Computer,Laptop au DVR/Nvr) na screen na kudisplay what was recorded.
Polisi Mara zote ushahidi wa CCTV wanapelekewa video na siyo mnato.
 
Wewe una elimu gani?
Mkuu nikikwambia hapa hadharani,sitokusaidia chochote zaidi ya majungu yako na mapovu.

uwezekano kama upo ungeniruhusu nikuPM then nikutumia maganda yangu yote then urudi hapa kutoa ushuhuda
 
Sasa nimekuelewa mkuu kumbe na wewe ulishangaa ka mimi kuona picha hii mbaya sana inaonesha MO si ajabu alichoka saana huo mchakamchaka na inaonesha hata Shock up za hii gari zimeisha upande wa dere. Sasa mtu wa seat ya nyuma ni aje?? Tena uwe umepakizwa kule kwenye boot?? Pole sana Mo. Ila ukirudi salama, Toa sadaka ya shukrani.
Sawa sawa mkuu.naamini sasa tupo pamoja.
 
Mkuu nikikwambia hapa hadharani,sitokusaidia chochote zaidi ya majungu yako na mapovu.

uwezekano kama upo ungeniruhusu nikuPM then nikutumia maganda yangu yote then urudi hapa kutoa ushuhuda
Nilikuuliza hilo swali kutokana na hoja yako. Naamini katika kuheshimu taalamu ya mtu na jinsi ya utendaji wake kwa wakati husika, kitaalamu. Wewe ulichoandika siyo hoja ila kebehi, ambayo inaonesha huna taaluma yoyote ila hivyo vyeti unavyotaka kunitumia kwenye PM. Sihitaji kuviona zaida ya nilivyokuelewa
 
Tatizo la Tanzania tuko nyuma mno. Cctv systems ni mifumo mipya kwa walio wengi, na kuzitafsiri kunahitaji anayezijua. Footage za CCTV huwekwa kwa flash disc au Hard disc kwa utunzaji na uonyeshaji. Picha ya CCTV ukiipiga picha ya mnato lazima ionyeshe zile characters za machine iliyozirecord.
Nilitegemea mtu angechukua flash yake na machine yoyote,(Computer,Laptop au DVR/Nvr) na screen na kudisplay what was recorded.
Polisi Mara zote ushahidi wa CCTV wanapelekewa video na siyo mnato.
Ok mkuu.shukran nadhan kwa kiasi chake utakuwa umeeleweka
 
Back
Top Bottom