Shughuli bandari ya dsm za simama!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shughuli bandari ya dsm za simama!!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by jcb, Mar 15, 2011.

 1. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wana Jamii, Mchana huu Mh. Raisi J.K ameingia bandarini kukagua shughuli zina vyoendeshwa.
  Wadau tunao shughulika humu ndani tumezuiwa kuingia, mageti yamefungwa kupisha ugeni huo.
  Hivi storage watatudai au ndo tumeumia sijui uchumi wa nchi hii unaendeshwaje kwakweli nine kwazika sana leo
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,913
  Trophy Points: 280
  makamu wake si alikuwa hapo juzi juzi tu.. So wanaenda kufanya nn mara kwa mara?
   
 3. i

  imara Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kunani bandarini?
   
 4. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  He is making a follow up after 4 years in office..mmh kweli tuna kiongozi
   
Loading...