Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

hahaaa hapana mkuu.. hii mada kila mtu anamnanga jamaa arudishe gari, wakati kapewa kwa mapenzi tu, amehangaika na vumbi la kongo huko, amekaza tako weee na ukute kazama mpka huko kunako.. ila watu hawaoni sacrifice zake!.. wanaona tu kua bi mkubwa katapeliwa dualis wakati yy mwenyewe aliitoa kwa mapenzi tena nnadhani bila hata kuombwa,..

WACHENI ATEMBELEE DUALIS LAKE, shugamami yy akaroge tu, kuna kipi tusichokijua kuhusu wanawake na uchawi!?..

Ndomana mimi nilimshauri asirudshe japo alikua tyr kurudsha
 
Vijana wa sku hizi wanapenda mteremko balaa,tunajua ni wewe sasa ichukue hyo gari utakiona cha moto muogope mtu mwenye pesa anaweza kufanya chochote
 
Ujinga ni kudhani kuwa
Mali inakuwa yako kwa sababu ina jina lako...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kama ingekuwa rahisi hivyo usingekuja hapa.
 
Arudishe gari ya watu huyo kijana, atakuja kujuta oooh.
 
Hiyo bmkubwa kama ni wa kule kaskazini basi mwambie mjuba arudishe ndinga ya bimkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom