Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

Kwa mwanamke huwezi kumdai ila mwanamke akimnunulia mwanaume anadai tena level ya gari. Mtakuja kujuta baadae rudisheni hilo gari muendelee kupanda bodaboda. Uchi mmeukataa gari mnalitaka, kama vipi mrudishe majeshi muendelee kula mema ya nchi

Daah[emoji28][emoji28] mzee naona unamwonea huruma sana mama
 
Rudisha hiyo gari kama ww ni mwanaume uliyekamilika. Kama siyo vimba nayo tu.
 
Ist ya kuvimbia??[emoji28][emoji28][emoji28] dualis ndo kila kitu mzee
Tena ukome kupanda hilo gari utafia humo na hako kavulana kenzio.arudishe hilo gari haraka sana.wavulana kupenda mtelezo mnatia aibu. Nakuhakikishia akibaki na hilo gari atajuta.
 
Wakuu mambo vipi?

Na rafiki yangu tunapiga kazi sehem moja sasa alibahatika kupata mpenzi ni mama wa miaka42 hivi, huyu mama ni anapesa sana ana biashara zake kibao znamwingizia pesa bado anafanyia kazi campun kubwa sana hapa dsm.

Walianza mapenzi toka august mapenz yakawa moto, mama amedata kwa jamaaa, hapo mama alisema hana mme ila anawatoto 3. Jamaa angu nae alikuwa amekolea tayr kwa penzi la mama hakutaka kumchunguza san huyu mama, japo nilimsisitiza sana awe makini na pia sikutaka kuingilia mambo ya watu.

October mama akamnunulia jamaa ndinga NISSAN DUALIS kali kabisa, jamaa akawa anaenda kwa mama analala na mama sometime anaenda lala kwa jamaa, siku jamaa aloshtuka alikua kwa mama kama kawaida usiku akasikia gate linafunguliwa akaingia mzee mzma wa makamo akasalimia akaunga chumbani, jamaa anasema alipigwa na butwaa alihisi yule ni mme wake tu. Alimwuliza mama akakubali ni mme wake eti walichana amekuja salimia watoto.

Jamaa baada ya kujua yule ni mke wa mtu akaamua kujitenga taratibu, hapo mama mapenzi ndo yamekolea haelewi kitu. Jamaa akafanikiwa kuwa nae mbali kimtindo akipiga cm hapokei nk. Yule mama akamind akatuma txt kwamba jamaa arudishe gari yake haraka.

Jamaa akanichek akanichana situation yote aktaka nimpe ideas kuhusu hii ishu, nikamwuliza gari umesajili kwa tin ya nan? Ya yule mama au yako? Akasema tin yake nikamwambia imeisha hio gari ni mali yako cha msingi hama hapo ulipokua unakaa then na gari tafuta sehem ifungie kwa muda. Manake hii ndinga tunavimbia nayo sana mtaani hadi batani[emoji28][emoji28]

Wakuu mnasemaje kuhusu ushauri nilompa??
KAMA huyo mzee hajakuuliza neno lolote unahangaika na nini? S ULIAMBIWA AMEKUJA KUANGALIA WATOTO TU. Endelea tu na kutoa huduma kwa mama. Angekudanganya kuwa mzee alikufa ungesema huyu ni hatari. ila kawa muwazi. Endelea tu. Usisahau kuoa huyo uzae nae wakwwatoto wako vinginevyo unatwanga maji kwenye kinu.
 
Duh, wanaume tunazidi kupungua kwa kasi saana

tapatalk_jpeg_1554121498041.jpg
 
Mbona hakuna shida yeyote uyo jamaa alikuja kucheki watoto wake sasa wewe jamaa umeogopa nn, isitoshe kakupa gali endelea kumpa mapenzi shuga mami lako ila rudisha gali aisee cha mtu mavi anaweza akakukodia wajomba wakaja kukuzuru mwisho wa siku ukawapa kwenu majanga
 
Muebrainia Halisi Rudisha Dualis ya watu

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom