Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

Alipewa kwa makubaliano ya kugegeda

Anataka kukumbia huo Ni utapeli unless aachiwe

Ningekuwa Mimi Wala nisingeishi kwa amani nalo

Gari usiloilovujia jasho sio lako

So jamaa arudi aka endelee kukata mauno, na mama alimpa kama zwd siku ya bday yake hakukua na hayo makubaliano ndomana usajil na kila kitu vilifanyika kwa jina la jamaa
 
Wakuu mambo vipi?

Na rafiki yangu tunapiga kazi sehem moja sasa alibahatika kupata mpenzi ni mama wa miaka42 hivi, huyu mama ni anapesa sana ana biashara zake kibao znamwingizia pesa bado anafanyia kazi campun kubwa sana hapa DSM.

Walianza mapenzi toka august mapenz yakawa moto, mama amedata kwa jamaaa, hapo mama alisema hana mme ila anawatoto 3. Jamaa angu nae alikuwa amekolea tayr kwa penzi la mama hakutaka kumchunguza san huyu mama, japo nilimsisitiza sana awe makini na pia sikutaka kuingilia mambo ya watu.

October mama akamnunulia jamaa ndinga NISSAN DUALIS kali kabisa, jamaa akawa anaenda kwa mama analala na mama sometime anaenda lala kwa jamaa, siku jamaa aloshtuka alikua kwa mama kama kawaida usiku akasikia gate linafunguliwa akaingia mzee mzma wa makamo akasalimia akaunga chumbani, jamaa anasema alipigwa na butwaa alihisi yule ni mme wake tu. Alimwuliza mama akakubali ni mme wake eti walichana amekuja salimia watoto.

Jamaa baada ya kujua yule ni mke wa mtu akaamua kujitenga taratibu, hapo mama mapenzi ndo yamekolea haelewi kitu. Jamaa akafanikiwa kuwa nae mbali kimtindo akipiga cm hapokei nk. Yule mama akamind akatuma txt kwamba jamaa arudishe gari yake haraka.

Jamaa akanichek akanichana situation yote aktaka nimpe ideas kuhusu hii ishu, nikamwuliza gari umesajili kwa tin ya nan? Ya yule mama au yako? Akasema tin yake nikamwambia imeisha hio gari ni mali yako cha msingi hama hapo ulipokua unakaa then na gari tafuta sehem ifungie kwa muda. Manake hii ndinga tunavimbia nayo sana mtaani hadi batani[emoji28][emoji28]

Wakuu mnasemaje kuhusu ushauri nilompa??
Nahisi ni wewe mwenyewe unajifanya kumtaja rafiki yako, angalia tu usije ukalawitiwa bure yaani mme mwenzio ajenge nyumba, ampendezeshe mkewe hafu wewe ukafanye ufuska kwenye mjengo wake dogo jiangalie
 
Uniletee kwangu Uo jamaa yako. Ntampa vitu uo mama hawezi kumsumbua. Akiweza kushika masharti.
 
Aangalie sana huyo jamaa yako ATAROGWA, akumbuke pia ndumba zinafanya kazi hiyo dualis isije kuwa jeneza lake.
Ushauri tu; Mali zinatafutwa arudishe gari au aendelee kula mzigo.Ningekua mimi ningeendelea kula mzigo mambo mengine yanasovika tu ilimradi ana afya njema!! Ila tukumbuke kucheki afya hasa kwa hawa wamama walioachwa au hujui mume wake yupo wapi!
 
Acha uzushi mzee
hahaaa hapana mkuu.. hii mada kila mtu anamnanga jamaa arudishe gari, wakati kapewa kwa mapenzi tu, amehangaika na vumbi la kongo huko, amekaza tako weee na ukute kazama mpka huko kunako.. ila watu hawaoni sacrifice zake!.. wanaona tu kua bi mkubwa katapeliwa dualis wakati yy mwenyewe aliitoa kwa mapenzi tena nnadhani bila hata kuombwa,..

WACHENI ATEMBELEE DUALIS LAKE, shugamami yy akaroge tu, kuna kipi tusichokijua kuhusu wanawake na uchawi!?..
 
Hilo gari kanunuliwa au ali mwazimisha tu ili iwe rahisi kumpata pale anapohitajika afike kwa haraka..
 
Wakuu mambo vipi?

Na rafiki yangu tunapiga kazi sehem moja sasa alibahatika kupata mpenzi ni mama wa miaka42 hivi, huyu mama ni anapesa sana ana biashara zake kibao znamwingizia pesa bado anafanyia kazi campun kubwa sana hapa DSM.

Walianza mapenzi toka august mapenz yakawa moto, mama amedata kwa jamaaa, hapo mama alisema hana mme ila anawatoto 3. Jamaa angu nae alikuwa amekolea tayr kwa penzi la mama hakutaka kumchunguza san huyu mama, japo nilimsisitiza sana awe makini na pia sikutaka kuingilia mambo ya watu.

October mama akamnunulia jamaa ndinga NISSAN DUALIS kali kabisa, jamaa akawa anaenda kwa mama analala na mama sometime anaenda lala kwa jamaa, siku jamaa aloshtuka alikua kwa mama kama kawaida usiku akasikia gate linafunguliwa akaingia mzee mzma wa makamo akasalimia akaunga chumbani, jamaa anasema alipigwa na butwaa alihisi yule ni mme wake tu. Alimwuliza mama akakubali ni mme wake eti walichana amekuja salimia watoto.

Jamaa baada ya kujua yule ni mke wa mtu akaamua kujitenga taratibu, hapo mama mapenzi ndo yamekolea haelewi kitu. Jamaa akafanikiwa kuwa nae mbali kimtindo akipiga cm hapokei nk. Yule mama akamind akatuma txt kwamba jamaa arudishe gari yake haraka.

Jamaa akanichek akanichana situation yote aktaka nimpe ideas kuhusu hii ishu, nikamwuliza gari umesajili kwa tin ya nan? Ya yule mama au yako? Akasema tin yake nikamwambia imeisha hio gari ni mali yako cha msingi hama hapo ulipokua unakaa then na gari tafuta sehem ifungie kwa muda. Manake hii ndinga tunavimbia nayo sana mtaani hadi batani[emoji28][emoji28]

Wakuu mnasemaje kuhusu ushauri nilompa??
Mwanamme wa Dar sikia, tunaelewa wewe na mshikaji wako ni washamba wa ndinga lakini ukweli ni kwamba hiyo mali mshikaji wako alikabidhiwa tu kama ahsante ya kumkuna huyo Mama ili Kipochi manyoya chake kisizibe kwa kutu. Mwambie amrudishie mali yake, mshikaji wako hajanunua, na akirudisha naomba unipe namba ya simu ya huyo Mama ili nikakague hilo gari.
 
Acheni kupenda vya bure,
kuna jamaa alikimbia na gari la shuga mamy, ila yaliyomkuta sio ya kuhadithiww.
Walianza kudead mmoja mmoja wa jamaa zake wa karibu, mwisho ikija kufa gari baada ya kupata ajali kubwa na yy kuathirika sana.
Cha mtu mavi, tafuteni vyenu
Na uchawi kama huu wanafanyaga wanawake tu ila mwanamme hana muda anakwenda kutafuta pesa akahonge jinamizi lingine la mapenzi.
 
Nahisi ni wewe mwenyewe unajifanya kumtaja rafiki yako, angalia tu usije ukalawitiwa bure yaani mme mwenzio ajenge nyumba, ampendezeshe mkewe hafu wewe ukafanye ufuska kwenye mjengo wake dogo jiangalie

Maneno mazito sana haya mkuu
 
Hilo gari kanunuliwa au ali mwazimisha tu ili iwe rahisi kumpata pale anapohitajika afike kwa haraka..

Alimpa zawadi siku ya bday ya jamaa, jamaa hakuamin. Sema jamaa yuko vzr kwa bed ndomana mama alipagawa kwa jamaa [emoji28][emoji28]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom