Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

Shugga Mama anataka Gari yake irudi haraka

Gari hairud
Safi, wanawake kitu kuwa responsible for your actions hawaelewi hata kidogo. Ebu fikiria mmama wa 42 anatoa zawadi alafu anapokataliwa anadai zawadi yake, kwani mapenzi lazima? what a shame let her learn the heard way.

Mbona haya mambo wanaume tumefanyiwa sana, next time tunakuwa smart tunapenda with our brains.
 
Mtalogwa wavivu nyie



Msicheze na pesa za mtu tena mkome
 
Watu mna uchungu na Gari la mama waachieni vijana waenjoy mama pesa anayo atanunua yeye alivyomtumia kijana wa watu jasho zikawa zinamtoka je?
Alipewa kwa makubaliano ya kugegeda

Anataka kukumbia huo Ni utapeli unless aachiwe

Ningekuwa Mimi Wala nisingeishi kwa amani nalo

Gari usiloilovujia jasho sio lako
 
Kwa mwanamke huwezi kumdai ila mwanamke akimnunulia mwanaume anadai tena level ya gari. Mtakuja kujuta baadae rudisheni hilo gari muendelee kupanda bodaboda. Uchi mmeukataa gari mnalitaka, kama vipi mrudishe majeshi muendelee kula mema ya nchi
Ahahaha.ushauri murua sana huu.yan umempa alternatives zoteee ashindwe yy tu 😂😂😂😂
 
Alipewa kwa makubaliano ya kugegeda

Anataka kukumbia huo Ni utapeli unless aachiwe

Ningekuwa Mimi Wala nisingeishi kwa amani nalo

Gari usiloilovujia jasho sio lako
Kugegeda huvuji jasho et?
 
Vijana acheni kupenda vya bure tafuteni hela. Rudisha hilo gari la wenyewe haraka huo udhulumati ni wizi kama wizi mwingine utauawa
Vijana wa miaka hii ndo maana ushoga umeshamiri
 
Mh
%2B255%20629%20305%20261%2020200813_215020.jpg
 
Wakuu mambo vipi?

Na rafiki yangu tunapiga kazi sehem moja sasa alibahatika kupata mpenzi ni mama wa miaka42 hivi, huyu mama ni anapesa sana ana biashara zake kibao znamwingizia pesa bado anafanyia kazi campun kubwa sana hapa DSM.

Walianza mapenzi toka august mapenz yakawa moto, mama amedata kwa jamaaa, hapo mama alisema hana mme ila anawatoto 3. Jamaa angu nae alikuwa amekolea tayr kwa penzi la mama hakutaka kumchunguza san huyu mama, japo nilimsisitiza sana awe makini na pia sikutaka kuingilia mambo ya watu.

October mama akamnunulia jamaa ndinga NISSAN DUALIS kali kabisa, jamaa akawa anaenda kwa mama analala na mama sometime anaenda lala kwa jamaa, siku jamaa aloshtuka alikua kwa mama kama kawaida usiku akasikia gate linafunguliwa akaingia mzee mzma wa makamo akasalimia akaunga chumbani, jamaa anasema alipigwa na butwaa alihisi yule ni mme wake tu. Alimwuliza mama akakubali ni mme wake eti walichana amekuja salimia watoto.

Jamaa baada ya kujua yule ni mke wa mtu akaamua kujitenga taratibu, hapo mama mapenzi ndo yamekolea haelewi kitu. Jamaa akafanikiwa kuwa nae mbali kimtindo akipiga cm hapokei nk. Yule mama akamind akatuma txt kwamba jamaa arudishe gari yake haraka.

Jamaa akanichek akanichana situation yote aktaka nimpe ideas kuhusu hii ishu, nikamwuliza gari umesajili kwa tin ya nan? Ya yule mama au yako? Akasema tin yake nikamwambia imeisha hio gari ni mali yako cha msingi hama hapo ulipokua unakaa then na gari tafuta sehem ifungie kwa muda. Manake hii ndinga tunavimbia nayo sana mtaani hadi batani

Wakuu mnasemaje kuhusu ushauri nilompa??

Hang, huyo mme alipofika nini kilitokea? Maana hapo ndo pana ukweli, Hakuna Mama mzima anayeleta Kijana kwake akijua fika ana mme na anaweza kuja!
 
Jamaa amevunja mkataba na Mama.Mkataba wa jamaa na Mama ni kuwa ampe Mama mapenzi motomoto bila ya kuangalia kama Mama ana mtu mwingine au laa na Mama ampe gari.Sasa ukivunja mkataba kwa makusudi unategemea nini?

Hahahahahaha hakutoa notice ya siku nne
 
Back
Top Bottom