Shtuka..! Unaibiwa

miaka ya nyuma nilishawahi kukutana na hiyo changamoto nitakueleza vizuri baadaye hapa haikai
Uelezee kwa kweli ili kama inafunza wengine wajifunze maana hii tabia ipo sana wakati wa safari na walio wengi wanaonaga ni kawaida hasa Me. 😜😜😜
 
Hahahaha kwa hiyo kuzungushwa ni ishara ya kukubaliwa. Nimechekaaaa
 
n
Uelezee kwa kweli ili kama inafunza wengine wajifunze maana hii tabia ipo sana wakati wa safari na walio wengi wanaonaga ni kawaida hasa Me. 😜😜😜
nitajitahidi ila siwezi eleza yote ngoja mida ifike wengine walale
 
Asie jua kukataliwa kwa sisi wanaume tunasema huyo si mwanaume kamili,na kujitia umangungu wa kang'ang'ania ni kutojiamini.

Mimi mbona humu nimekataliwa mara kibao,nimekubali matokea.... Nacheka sana.
Huo ndio ukamanda mkuu, mwanaume ni kama simba katika kuwinda haogopi kujeruhiwa

Kukataliwa ni sehemu ya game, pengine mwanzo mwanamke anaweza akakukatalia baadae unavyo behave akarudi mwenyewe ukajilia kiulaiini, nawashangaa wanaotumia nguvu na kulazimisha haya mambo kwa usumbufu usiokua na maana kwa Ke
 
Umeonaeeee. Hii ndio kweli Sesten.

Msimamo ndio kila kitu na wasiokuwa na misimamo ndio kama hao kina brenda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaa una akili saana.

Dah
 
Hiyo mbinu ya kupotea kwa muda mchezoni kivita tunaiita Gorila War Style...!

Ila sisi wengine kama irrevisible reaction ikienda hairudi hiyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…