Sasa uvifungue vya nini jirani.Jiran kwani ukiwa kwenye uhusiano ndio unafunga vioo?? Hahahah unatakiwa ufungue vioo uangalie the best zaidi.
Japo mie nimefunga vioo. ]]]
Wengine wanakuwaga na mahusiano yao tayari Mkuu ila wanapata au kutoa mitongozo kwa wengine wakati wa kusafiri.Sioni tatizo hapo, mapenzi huanzia mahala popote haijalishi mlikutana wapi siku ya kwanza.......iwe kwneye basi,mtaani,kwenye matamasha,kwenye tafrija ,humu jf nk cha msingi kila mmoja anajaribu bahati yake....
Umeniuliza swali rahisi sana ila nachelea kukujibu nisije kuharibu yaani ukanielewa vibaya.Hahahaaa. Hivyo waona hujaongea lugha laini eee? Duuh.
Hahaaa. Usijali Sesten nitafanya hivyo kwa kweli.Siku nyingine ukiwa safarini usijisahau basi bana, maana jirani ni kama ndugu ujue hasa akiwa wa jinsia sawa na wewe
Umeonaeeee. Tena mtihani hasaa.Kutoa namba mtihani huo
Ooh. Sawa Mkuu.Umeniuliza swali rahisi sana ila nachelea kukujibu nisije kuharibu yaani ukanielewa vibaya.
Usiniite mkuu.Ooh. Sawa Mkuu.
wakati mwingine upande mmoja unajikuta una stress sasa abiria mwenzake akiweza kuonekana anaweza kupunguza stress zake basi ndo michakato ya mapenzi inaanza.Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.
Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.
Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?
Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
πππ nikuiteje Mkuu?Usiniite mkuu.
Mpka kulishana jamani...Hahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.
Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.
Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?
Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Umeona Mkuu japokuwa nishawahi pata storry kuna wale wa safari za mbali zile za kulala njiani wanafikia hatua ya kulalan* kabisa.wakati mwingine upande mmoja unajikuta una stress sasa abiria mwenzake akiweza kuonekana anaweza kupunguza stress zake basi ndo michakato ya mapenzi inaanza.
ila ni mapenzi fulani ya kijinga na huwa hayana maisha kwa pande zote mbili zaidi ya show na kuachana na wakati mwingine unaweza usitoe hata kitu.
Maana Me wengine akipewa namba tu anahesabu ushindiπππUmeonaeeee. Tena mtihani hasaa.
Sijaelewa Mkuu ndio unakazia au? ππMpka kulishana jamani...
eeeee.....Sijaelewa Mkuu ndio unakazia au?
Unafungua kuangaza angaza for the best options...Sasa uvifungue vya nini jirani.
Wachaaaaa. Kumbe eee? Haya fungaga hivyo hivyo jirani.
Nitakujeruhi !?nikuiteje Mkuu?