Shtuka..! Unaibiwa

Hahahaaa. Sina kipaji cha kuanzisha uzi ujue.

Hivyo imebidi niongezee humu humu ni tujue chanzo hasa nini mpaka imefikia Brenda katoa namba. Hahaaa.
chanzo kuanzia siku inaanza au tangia walipoingia basini au tangiwa walipoanza safari au tangia walipoanza maongezi?

Yote kwa yote mwanamke akitoa namba tu ni sawa na msafiri Alofika mkuranga,aendae dar,atokae masasi
 
Si ndio useme sasa maana mie siyajui.
Tatizo ukwel huu mtaupinga na mtaleta sababu za kisecular ila madhara yake mnayaona.

Usiruhusu mwanamke atembee peke yake.

Nimemaliza....!
 
chanzo kuanzia siku inaanza au tangia walipoingia basini au tangiwa walipoanza safari au tangia walipoanza maongezi?

Yote kwa yote mwanamke akitoa namba tu ni sawa na msafiri Alofika mkuranga,aendae dar,atokae masasi
Chanzo kuanzia humo basini mpaka wakapeana hizo namba.
 
Duuuh.

Nimekuelewa
Ila nyinyi wa secular mnapenda kujitutumia kutaka kusjindana maumbile,ila ipo siku mtanyoosha maelezo halafu mtakuwa mmeshachelewa sana.
 
Ila nyinyi wa secular mnapenda kujitutumia kutaka kusjindana maumbile,ila ipo siku mtanyoosha maelezo halafu mtakuwa mmeshachelewa sana.
Mmh. Na wewe umeamua kuyasingizia maumbile tena. Heeee.

Wasiofanya je na wenye jinsia kama yenu wao kwao imekaaje?
 
We tunafanana. Stori nikute kijiwe cha kahawa, kwenye gari/basi ni kusoma kitabu nikichoka nalala.
 
Na hili ni kwa wote na sio kwa Ke peke yake
Bila shaka kwa wote.... Mathalani mimi sijawahi kuanzisha story na mtoto wa kike ndani ya bus zaidi ya salamu.Isipokuwa mmoja tu alijaribi kulianzisha na kunipa biskuti zao za kuitwa "EAT SOME MORE".
 
Mmh. Na wewe umeamua kuyasingizia maumbile tena. Heeee.

Wasiofanya je na wenye jinsia kama yenu wao kwao imekaaje?
Nilijua tu hapa huwezi kunielewa kama nilivyo kusudia.

Maumbile ndio sisi wewe huwezi kuwa Hajar bila hilo umbile lako.

Nataka nikuulize swali,kwa sharti ulijibu kama inavyotakiwa ujibu....!
 
Fursa adimu.

Ila jamaa mtoa mada mbona shilawadu flani
 
Tumeumbwa hivyo. Jirani.

Its a biological factor
 
Nilijua tu hapa huwezi kunielewa kama nilivyo kusudia.

Maumbile ndio sisi wewe huwezi kuwa Hajar bila hilo umbile lako.

Nataka nikuulize swali,kwa sharti ulijibu kama inavyotakiwa ujibu....!
Hahaaa. Umefanya nicheke maana kiukweli toka nianze kukuquote kila mara lazima useme sijakuelewa duuuh!

Usiniulize maana waeza sema pia sijalielewa swali lako. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…