Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Siri ya ushindi ni zile block busters za inspirational coaxing and cajoling speeches ambazo zinaimailaiza kabisa deffence ya KeEeeh naona mtanange upo salama kabisa..
Mpaka sasa mnaongoza kwa 4-1 .
Wewe unadhani ni kitu gani kinakupatia maksi za ushindi..
Kwako mwalimu kashasha.
Daaahhh hahahahaaha
Wewe ninavyokufahamu. Hata namba kwenye gari hutoi. Jiran.Hahaha. Nikunyime nini Hajar mie.
Ila leo umetoa kali jamaani.
Kali ipi Hajar banaaπππ?Hahaha. Nikunyime nini Hajar mie. ππ
Ila leo umetoa kali jamaani.
ππππππWewe ninavyokufahamu. Hata namba kwenye gari hutoi. Jiran.
Mwalimu kashashaSiri ya ushindi ni zile block busters za inspirational coaxing and cajoling speeches ambazo zinaimailaiza kabisa deffence ya Ke
Sasa ukichanganya na intercontinetal unconditional gifts kutoka ulaya na Amerika unajikuta unapata bao ambalo ni spectacular
Kwako Enock Bwiganeπππ
Kumbe mchoyo eeh huyu bint?πππWewe ninavyokufahamu. Hata namba kwenye gari hutoi. Jiran.
Aiseee. Sitoi jirani.Wewe ninavyokufahamu. Hata namba kwenye gari hutoi. Jiran.
Hahah hapana. Sio mchoyo jirani yangu. Ila....Kumbe mchoyo eeh huyu bint?πππ
Aiseee. Sitoi jirani.
Nyie Me si watu wazuri kabisa ujue
Usije ukam dediketia wimbo wa Twanga Pepeta aliouimba Ally Choki na Lwiza Mbutu......Jirani nimekukosea nini"Hahah hapana. Sio mchoyo jirani yangu. Ila....
Ngoja aje amalizie mwenyewe
Wacha tu nikae nayo moyoni Mwl Kashasha. ππ
πππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈHahah hapana. Sio mchoyo jirani yangu. Ila....
Ngoja aje amalizie mwenyewe
Moyo uache usukume damu Hajar usiungezee mengine mamiiπππWacha tu nikae nayo moyoni Mwl Kashasha. ππ
Kupeana namba huko?Kwanini jirani?? Haya mambo mbona ni ya kawaida.
Lahaulaaaa! Kwanza leo hamchezi kweli nyie? Jana wale Wamakonde wameponea chupuchupu kuliwa na Lunyasi wa MsimbaziYaani Sesten sijui kawaza nini jamaani hadi kujiita Mwalimu Kashasha. Duuh
Hii inaitwa hard target. Unascore kwenye imposible angle...wale mabeki wamejenga ukuta dizain kama wa berlin lakini mshambuliaji makini kabisa anafunga kwa shuti linalo move kama ndizi Tena dakika ya 119.Usije ukam dediketia wimbo wa Twanga Pepeta aliouimba Ally Choki na Lwiza Mbutu......Jirani nimekukosea nini"
MnasocializeKupeana namba huko?
siyo hivo ila tambua ngono ina nguvu kubwa sana;ndo maana tunazuia hata watoto kuanza ngono wakiwa bado wadogo kwani huwa mtu akionja inakuwa tabu sana.Chief umeandika kwa msisitizo sana.
Hahahahhahaha hahahahhahahaSiri ya ushindi ni zile block busters za inspirational coaxing and cajoling speeches ambazo zinaimailaiza kabisa deffence ya Ke
Sasa ukichanganya na intercontinetal unconditional gifts kutoka ulaya na Amerika unajikuta unapata bao ambalo ni spectacular
Kwako Enock Bwiganeπππ