Shtuka..! Unaibiwa

Oooh. Kuumbe
kumzoea mtoto wa kike kama sio kwa mission fulani ,ni hatari kwa afya yako.ndo maana mazoea yanaruhusiwa pale tu mnapokuwa na mission fulani,tena mazoea hayo yawe tu ni katika muda wa kazi,lakni ukishaona hata mkuu wako wa kazi akiwa ni mwanamke anakuja geto eti kukuona unavyoishi ujue tayari amesha hatarisha afya ya ubongo tayari,niliwahi kuwaacha mademu zangu wengi kwa style yao ya udhaifu.There is no pure friendship between men and women.Na ndo maana katika familia zetu tunatakiwa kuwalinda watoto wetu wa kike na wa kiume.
 
Hahahaha hii ni kweli kabisa naunga mkono hoja
 
Kukubaliwa Hajar yaani unakua umeeleweka sera zako kwa kifupi

Hujatumia vifaru, mizinga wala mabomu ya machozi

Amekija mwenyewe kwa miguu yake na kwa mikono yake akashika pichu yake akaivua

Kwako mwalim KashahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eeeh naona mtanange upo salama kabisa..
Mpaka sasa mnaongoza kwa 4-1 .
Wewe unadhani ni kitu gani kinakupatia maksi za ushindi..
Kwako mwalimu kashasha.
Daaahhh hahahahaaha
 
Chief umeandika kwa msisitizo sana.
 
teh teh teh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…