Show za kibongo na makelele yasiyo na ulazima

Show za kibongo na makelele yasiyo na ulazima

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Hivi jamani mnaofatilia Show mbalimbali za muziki sanasana za Fiesta. Kwa nini Show za wasanii wa kibongo lazima kupigishana makelele, utasikia ooh tuimbe Wote mara sema woyoooooooooo.

Hivi na show za Ulaya ziko hivi hivi maana nikiangalia zile show za Ulaya unakuta msanii anaperform hadi Raha. Yaani unaona kabisa msanii husika yuko serious kwenye performance hakuna yoooooo wala piga keleleee kama huku bongo.

Kiukweli huwa natamani sana kuhudhuria hizo burudani lakini nikikumbuka hizo woyooooooo na piga keleleeeee basi hamu inakata nahisi kama Nitaibiwa tu hela apewe Msanii kuimba niimbe Mimi wapi na wapi.?

Kwenye show nataka nije nione performance ya Msanii husika siyo kupigishana makelele yasiyo ya lazima.



Sent Using Bongo kama Ulaya au Bongo bahati mbaya.
 
Hivi jamani mnaofatilia Show mbalimbali za muziki sanasana za Fiesta .
Hivi kwa nini Show za wasanii wa kibongo lazima kupigishana makelele utasikia ooh tuimbe Wote mala sema woyoooooooooo.

Hivi na show za ulaya ziko hivi hivi maana nikiangalia zile show za ulaya unakuta msanii anaperform hadi Raha yaani unaona kabisa Msanii husika yuko serious kwenye performance hakuna yoooooo wala piga keleleee kama huku bongo.

Kiukweli huwa natamani sana kuuzulia hizo burudani lakini nikikumbuka hizo woyooooooo na piga keleleeeee basi hamu inakata nahisi kama Nitaibiwa tu hela apewe Msanii kuimba niimbe Mimi wapi na wapi.?


Kwenye show nataka nije nione performance ya Msanii husika siyo kupigishana makelele yasiyo ya lazima.




Sent Using Bongo kama Ulaya au Bongo bahati mbaya.
Wote tuimbe
Haya sasa piga keleleeeeee
 
Basi nikajua ni zile "show" nyingine maanaa dah siku moja sikulala, nilikua field Mkoa Mmoja hivi....
 
Mbona hata ulaya wasanii wanaimba na mashabiki zao mwanzo mwisho......pale hujaenda kuangalia XXX umeenda kufurahia mziki so kuimba na msanii ni jambo LA kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom