Tofauti na wasanii wa WCB, je kuna wasanii wengine wanapata show za maana Tanzania kwa sasa?

Free ideas

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
3,456
1,937
Binafsi naona kama music kwa sasa Tanzania unabembwa na hawa vijana waasanii wa Wasafi.

Kwa sasa ni nadra sana kuona akina Fid Q , Weusi sijui na akina nani kupata show nyingi za ndani.Naona kama mirija imekata kabisa.Yaani hata insta baadhi wameanza kupungua kabisa. Na kwa sasa page zao wengi wanapromote matangazo mbali mbali kujipatia kipato.

Marehemu Ruge kumbe alikuwa akiwasaidia sana hawa wasanii kwa hizi show vya fiesta at least wengine wanapata vi hela vya kununua nguo

Kwa sasa ni nadra sana kusikia et “ My new ride” hahahahaha.Magu kamatia hapo hapo mpaka tuewane.Wengi sasa hivi wamekata tamaa.Msanii unamaliza miezi 3-6 hujapata show ? Aisee jitafakari.

Clouds Media waangakie namna ya kuwasaidia hapa wasanii japo kwa show show hivi yaani wafanye kama wanashindana na Wasafi hivi ili kuwa-boost hawa wasanii wetu.Wengi wamegeuka kuwa ma- mc kwenye maharusi aisee hela mbaya sana.

Kuna wengine wamekata tamaa sana aisee.Kuna waliokuwa wanabeba mzigo kupeleka china sasa hivi naona mambo magumu mzigo hakuna so wapo tu wanazunguka mjini kuchekicheki ofa na huruma ya watu wanaowajua.

Sasa hivi msanii akibahatika kwenda Ulaya atatuma picha kila dakika insta ili kila mtu ajue hayuko Tanzania aisee.

Kuna wasanii sasa wanaanza kusahaulika kabisa
1.Roma
2.Stamina
3. Joh makini
4.Q chief
5.Recho
5.Matonya
6.Linex
7.Baraka sijui da pri nini
8.H baba
9. Juma nature
10.Msodoki
11. Fid q
12. Shetta
13. Dully
14. Country boy
15. Dogo janja
16. Madee
17. Tunda man
18. Momba
19. Wengine hao lbda wawe wameshirikishwa lakini kiukweli hali ni tete.

Yaani hata bongo movie nao hali ni tete hakuna jipya akina Ray na JB mambo ni magumu,Muhimdi anataka pasu pasu huku wafanyakazi rundo hahahaha aisee.

Yaani sasa hivi ni nadra kusikia sijui Chief Kiumbe kamzawadia Matonya gari
, mara sijui Sheta kamnunulia mwanae gari ya shule hahahah

Wasanii ambao kwa miaka 3 sasa tangu awamu hii iingie bado wako kwenye peak ni
1. Diamond ( huyu hajawahi kushuka)
2. Rayvann
3. Harmonize
4. Plus hao akina Mboso na Lavalava

Hawa vijana kila siku wao na matamasha mara kenya tz uk USA, Oman,Dubai yaani kila siku wananyea mbingu huku wenzao wanasota kuangika majungu insta mara free mason sasa sijui wao hawawaoni hao masonic ili nao wajiunge.

Kuna wasanii baadhi wanafanya hiphop ila cha ajabu nashimdwa kuelewa kama hata show wanapataga ama wanaganya tu mradi.

Hiphop kwa Tanzania kwa sasa ni majanga maana population inataka kuimba kuimba tena mapenzi mapenzi hivi plus matusi matusi uyafumbe fumbe hivi basi we utayoboa.

Wewe imba mikasa sijui siasa sijui maisha magumu utasikuliza mwenyewe kwako.

Cha muhimu msikate tamaa mkeshe mkiomba mzee aachie nanyi mpaka maisha
 
Vyuma vimekaza nani ataanda matamasha kama zamani wakati uwakika wa kuingiza watu sio kivile.
 
Kila nabii na zama zake! Hata hawa pia hiyo hali itatokea. So hakuna jambo la ajabu hapo ndugu.
 
hao wasanii wanapiga sana shoo ila shoo zao sana ni vijijini ambapo hawatumii mitandao ya kijamii,,msanii anafika kijijin ndo anatangazwa anazungushwa kijij chote kufanya promo,,alafu jion ndo watu wanajaa kweny shoo,,,yan wanapiga sana hela hao,,nimeshangaa juzi kaja matonya huku sikonge eti kajaza ukumbi,,kaja nuhu mziwanda eti kajaza,,kwahyo hao show zao hiz kumbe zinawalipa maana unakuta kwa mwez anapiga show tat za laki tano bas maisha yanaenda
 
hao wasanii wanapiga sana shoo ila shoo zao sana ni vijijini ambapo hawatumii mitandao ya kijamii,,msanii anafika kijijin ndo anatangazwa anazungushwa kijij chote kufanya promo,,alafu jion ndo watu wanajaa kweny shoo,,,yan wanapiga sana hela hao,,nimeshangaa juzi kaja matonya huku sikonge eti kajaza ukumbi,,kaja nuhu mziwanda eti kajaza,,kwahyo hao show zao hiz kumbe zinawalipa maana unakuta kwa mwez anapiga show tat za laki tano bas maisha yanaenda
Aiseeee, ndo mana best Nasso aliwai seat vijijini alijua mambo yatafikia huko hivyo aliwateka mapema watu wake.
 
Mbn huwataji akina King kiba, nandy, wozu, nenga au unataka kutuaminisha show zinapigwa na wasafi tuuu?...kuna watu jeuri hao akina ali kiba hata akifanya show mwez mtukufu anajaza....
 
Kilichoniuma Ray vanny anafanya shoo halafu anasapotiwa na Juma nature

jamani Juma nature jamani jamani
Nini kinatokea

Lile tangazo silipendi
 
Alafu wanafanya show,huku wakiwa na wadhamini kibao, ndani ya siku NNE Mondi ana show tatu,Kahama,Geita na Kenya .WCB wanajua biashara ya mziki na wanajua kuwavutiwa mashabiki na wadhamini,hawafanyi mziki kwa mazoea .
 
Alafu wanafanya show,huku wakiwa na wadhamini kibao, ndani ya siku NNE Mondi ana show tatu,Kahama,Geita na Kenya .WCB wanajua biashara ya mziki na wanajua kuwavutiwa mashabiki na wadhamini,hawafanyi mziki kwa mazoea .

Uko sahihi na kwa maana hii wataendelea kuwa juu kileleni
 
Mtoa Mada labda Uko mafichon Sana show znafanywa nyingi tu

Mfano mdogo tu huko sumbawanga unajua Nn kinahappen Leo tena chin ya clouds media? Kama hujui fuatilia


Pili unajua jmosi Nn kinahappen escape 1 hapa mjin dsm Kama hujui fuatilia

Unajua Nn kinahappen IDD tanga Arusha dsm Kama hujui fuatilia s unaleta porojo Za vijiweni

Mwisho Mtoa Mada unaonekana unapenda maanguko ya wenzako si unafaidika nn tuwasapot wasanii wetu

#Liverpool Hatutaki Mazoea Nawatotowadogo
 
Mkuu apo ulipoanza Na diamond ungeanza ma Harmonize hakuna msani anaye piga show nyingi Na zahela nyingi kama harmonize afu ndo wanafuatia ao wengine
Binafsi naona kama music kwa sasa tz unabembwa na hawa vijana waasanii wa wasafi.
Kwa sass ni nadra sana kuona akina fid q , Weusi sijui na akina nani kupata show nyingi za ndani.Naona kama mirija imekata kabisa.Yaani hata insta baadhi wameanza kupungua kabisa. Na kwa sasa page zao wengi wanapromote matangazo mbali mbali kujipatia kipato.

Marehemu ruge kumbe alikua akiwasaidia sana hawa wasanii kwa vi show vya viesta at least wengine wanapata vi hela vya kununua nguo

Kwa sasa ni nadra sana kusikia et “ My new ride” hahahahaha.Magu kamatia hapo hapo mpaka tuewane.Wengi saiv wamekata tamaa.Msanii unamaliza miezi 3-6 hujapata show ? Aisee jitafakari.

Clouds media waangakie namna ya kuasaifia hapa wasanii japo kwa vi show show hivi yaani wafanye kama wanashindana na wasafi hivi ili kuwabust hawa wasanii wetu.Wengi wamegeuka kuwa ma- mc kwenye maharusi aisee hela mbaya sana.Kuna wengine wamekata tamaa sana aisee .Kuna waliokua wanabeba mzigo kupeleka china saiv naona mambo magumu mzigo hakuna so wapo tu wanazunguka mjini kuchekicheki ofa na huruma ya watu wanaowajua.

Saiv msanii akibahatika kwenda ulaya atatuma picha kila dakika insta ili kila mtu aju hayuko tz aisee.

Kuna wasanii sasa wanaanza kusahaulika kabisa
1.Roma
2.Stamina
3. Joh makini
4.Q chief
5.Recho
5.Matonya
6.Linex
7.Baraka sijui da pri nini
8.H baba
9. Juma nature
10.Msodoki
11. Fid q
12. Shetta
13. Dully
14. Country boy
15. Dogo janja
16. Madee
17. Tunda man
18. Momba
19. Wengine hao lbda wawe wameshirikishwa lakini kiukweli hali ni tete. Yaani hata bongo muci nao hali ni tete hakuna jipya akina ray na jb mambo ni magumu,Muhimdi anataka pasu pasu huku wafanyakaZ rundo hahahaha aisee.

Yaani saiv ni nadra kusikia sijui chief kiumbe kamzawadia matonya gari
, mara sijui sheta kamnunulia mwanae gari ya shule hahahah
Wasanii ambao kwa miaka 3 sasa tangu awamu hii iingie bado wako kwenye peak ni
1. Diamond ( huyu hajawahi kushuka)
2. Rayvann
3. Harmonize
4. Plus hao akina mboso na lavalava
Hawa vijana kila siku wao na matamasha mara kenya tz uk usa oman dubai yaani kila siku wananyea mbingu huku wenzao wanasota kuangika majungu insta mara free mason sasa sijui wao hawawaoni hao masonic ili nao wajiunge.

Kuna wasanii baadhi wanafanya hiphop ila cha ajabu nashimdwa kuelewa kama hata show wanapataga ama wanaganya tu mradi.Hiphop kwa tz kwa sasa ni majanga maana population inataka kuimba kuimba tena mapenzi mapenzi hivi plus matusi matusi uyafumbe fumbe hivi basi we utayoboa.Wewe imba mikasa sijui siasa sijui maisha magumu utasikuliza mwenyewe kwako.

Cha muhimu msikate tamaa mkeshe mkiomba mzee aachie nanyi mpaka maisha
 
Kwa hiyo mtoa post wewe furaha yako ni kuona wenzako wana angaika kitaa sio.. !? Eti "magufuli shikilia hapo hapo" duh ila tutafika tu hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho.
 
Wcb mmoja wao akifanya show mapato yanagawiwa watu wote let say amefanya show Ray vanny atalipwa 2mil hiyo atagaiwa hadi producer hapo atajikuta amepata kama 200K lakin best naso akifanya shoe huko Malinyi atapewa laki tano yake cash pasi kugawana na mtu
 
Wcb mmoja wao akifanya show mapato yanagawiwa watu wote let say amefanya show Ray vanny atalipwa 2mil hiyo atagaiwa hadi producer hapo atajikuta amepata kama 200K lakin best naso akifanya shoe huko Malinyi atapewa laki tano yake cash pasi kugawana na mtu
Hujui kitu
 
Back
Top Bottom