Show za Fiesta tumeshalipwa

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,802
Wakuu,

Kipindi hatujalipwa malipo yetu baada ya kufanya show za Fiesta nilikuja hapa JF kulalamika hivyo baada ya kulipwa naamini ni vema nikaja hapa hapa JF kuufahamisha umma ili isije kuonekana kuwa ilikuwa chuki binafsi.

Kuanzia tarehe 23 mwezi huu mpaka siku ya jana tarehe 26 tumelipwa pesa zetu zote, sidhani kama kuna mtu hajalipwa deni lake.

Shukrani ziende kwa uongozi mzima wa Clouds Fm pamoja na Prime Time promotion, na shukrani za kipekee kwa dada Juli alikuwa akitupa moyo katika kipindi tulichopitia.

Kuna siku ntaelezea maisha yetu wasanii, wengi mnatuona kama tuna hela ila ukweli tuna njaa sana.
 
Mkuu jikite kuuboresha mziki wako tu!
kuchafua wengine hakutakufanya wewe uimarike au uwe juu!

Angalia Diamond kabla hajatoka kiivo kama sasa yeye ndio alikua anabebeshwa lawama Na kuchafuliwa ila hujawahi tumia kumchafua mtu kama njia ya yeye kuwa juu!
 
Back
Top Bottom