Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
Hivi uliona hii? ephen_Things i do when I'm bored.
View attachment 1857063
Nikiwa shule, siunajua shule zenu za vi bus vya njano huwa wanazingatia vipajiNdio! Ulijifunza wapi kuchora?
Mzee Kimario alikua na mpunga.Nikiwa shule, siunajua shule zenu za vi bus vya njano huwa wanazingatia vipaji
Hebu toka hapaMzee Kimario alikua na mpunga.
Hebu toka hapaMzee Kimario alikua na mpunga.
Usinifukuze nitalia😔Hebu toka hapa
SikubembeleziUsinifukuze nitalia😔
Ila ndanda high school🙌🏽
Ww n dokta? Mana nmeelewa hapo kwenye ccm tuu 😎
Unyama, mm sielew chcht hapoMimi Fundi kuchemelea hapo niliorodhesha material za kazi.
Walimu huwa wana shida sanaNahisi mimi ndo naongoza kwa mwandiko mbaya kwenye huu uzi😊
View attachment 3250700
Bongebla mwandiko
Ndugu yangu umepotelea wapiiBongebla mwandiko
Nipo ndugu, ni vile jf nliisahau baada ya kunogowa na movies😂Ndugu yangu umepotelea wapii
Uwongoooo utakuwa umeoaaaa wewe 😂Nipo ndugu, ni vile jf nliisahau baada ya kunogowa na movies😂