Jamaa anajua Sana kuitendea haki stage show ya Jana kwenye wasafi alifanya balaa zito na alifanya mchanganyiko ngoma zake za slow aliimba live band na nyimbo zake za kuchangamsha aliimba playback.kwenye live band ilikuwa unique sana aliimba mpaka jukwaa likaa kimya linamsikiliza voice tamu aliyonayo alivomaliza tu mashabiki wakamshangilia kitu ambacho nilikipenda alikuwa anaimba yupo calmed na kuimba kwake kwa hisia ila vijana wake wameniangusha lavalava na harmonize wamefanya show mbovu Sana,harmo kiukwel live band ajui kabisa na hapo alipoharibu Bora tu angebaki kuimba playback alikuwa mzito kabisa jukwaani alishindwa kabisa kwenda na mzuka wa mashabiki ni sawa na lavalava.ushauri wangu kwa diamond kaa nao hao vijana jaribu kuwafundisha namna ya kufanya live band na namna yakuteka hisia za mashabiki alafu mwambie harmo apunguze mwili wake amekuwa mzito Sana.