Show ya Mwanza, Diamond umeua ile mbaya

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,506
18,800
Jamaa anajua Sana kuitendea haki stage show ya Jana kwenye wasafi alifanya balaa zito na alifanya mchanganyiko ngoma zake za slow aliimba live band na nyimbo zake za kuchangamsha aliimba playback.kwenye live band ilikuwa unique sana aliimba mpaka jukwaa likaa kimya linamsikiliza voice tamu aliyonayo alivomaliza tu mashabiki wakamshangilia kitu ambacho nilikipenda alikuwa anaimba yupo calmed na kuimba kwake kwa hisia ila vijana wake wameniangusha lavalava na harmonize wamefanya show mbovu Sana,harmo kiukwel live band ajui kabisa na hapo alipoharibu Bora tu angebaki kuimba playback alikuwa mzito kabisa jukwaani alishindwa kabisa kwenda na mzuka wa mashabiki ni sawa na lavalava.ushauri wangu kwa diamond kaa nao hao vijana jaribu kuwafundisha namna ya kufanya live band na namna yakuteka hisia za mashabiki alafu mwambie harmo apunguze mwili wake amekuwa mzito Sana.
 
Diamond mpambanaji Sana, mengine tumwachie aliyemuumba, jamaa anahutlse sana, kupiga show nne Kwa wiki kwenye majukwaa makubwa sio kazi rahsi ni kazi ngumu sana japo watu wataona kama anapiga hela za bure, na ratiba yake ya show ipo tight sana but anajaribu kufight cse anatambua mda wake ndo huu, ukipita umepita....

Mchukue Ommy Dimpoz au Ben Paul apige show za kibabe bandika bandua kama tano hvi Kwa mfuatano uone kama hajatema ulimi na maralia juu
 
Ali Kiba atasubiri sana kwa Diamond.

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Diamond mpambanaji Sana, mengine tumwachie aliyemuumba, jamaa anahutlse sana, kupiga show nne Kwa wiki kwenye majukwaa makubwa sio kazi rahsi ni kazi ngumu sana japo watu wataona kama anapiga hela za bure, na ratiba yake ya show ipo tight sana but anajaribu kufight cse anatambua mda wake ndo huu, ukipita umepita....

Mchukue Ommy Dimpoz au Ben Paul apige show za kibabe bandika bandua kama tano hvi Kwa mfuatano uone kama hajatema ulimi na maralia juu
Kwel kabisa alafu show zake nyingi anapiga masaa ma5 Kama hii show ya Jana Mwanza.
 
Jana Burundi kakiwasha tena. Jamaa yuko kwenye peak acha apige mpunga
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom