Tathimini yangu binafsi juu ya Bongo Flava Honours

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
500
420
Hii nibtathmini yangu binafsi juu ya bongo flavour honours.Kwanza inaonekana waimbaji wa zamani bila kujalisha yupo au hayupo kwenye game bado wana mashabiki wengi ambao wangependa kuwa wanawaona wakiperform live.Kimbe ile imani iliyopo kwamba hawana audience ni feki kabisa.
Tathmini yangu juu ya walioheshimishwa.
1.Dully Sykes
Huyu aliilitendea haki jukwa,alionyesha umahiri kwenye live perfomance.Japo naye kuna muda alikuwa anayeyusha baafhi ya nyimbo.
2.TID
Myama mwenyewe,huyu ni mmojawapo wa mabingwa wa live show.Ila nayr kuna muda alianza kuyeyusha.Nyumbo alikuwa haziimbi vizuri,alikosa useriousness fulani hivi.
3.JayMoe
Huyu aliua,aliimba vizuri sana,mistari anaikumbuka yote.Alikuwa anakamua kweli kweli.
Kama utakumbuka kuna mwaka lilifanyika tamasha la Serengeti pale Dodoma,wateule waliluwepo.Mchizi mox na Jafarai waliyeyusha balaa,mistari walikuwa hawakumbuki.Kuimba wanashindwa wanaishia kupiga makelele tu,lakini mwamba alipokuaa anashika mic yeye ilikuwa ni balaa.
4.Nature
Huyu jamaa ana kazi kubwa sana ya kufamya.Inabidi abadilike,live perfomance naona hajazoea.Kwanza asilimia kubwa ya nyimbo xake kali kali kazisahau.Anajifichakaga kwenye kichaka cha nyimbo chache chache za kuimba nakuishia kuimba imba vikorasi tu.Kimsingi nature live perfomance huwa anayeyusha.
5.Blue
Aliyeyusha sana.Kelele nyingi,kuimba haimbi.Mistari anasahau.Alinidisapoint dana.
6.Gangwe
Hawa wako serious kuliko maelezo.Walikuwa wana energy na vibe la kutosha.Nyimbo wanaziimba kwa umahiri mkubwa,mistati wanakumbuka na walionyesha show ya kibabe sana.Babu na Luteni,great perfomers,Excellent na Fabolous kabisa.
Mwisho,Dola Soul naye ni balaa kwenye live perfomance.
 
Huyo namba 4 tatizo lake kubwa ni bangi.
 
Back
Top Bottom