Kaingia uwanjani kwa kamba kijeshi jeshi,toka juu ya paa la uwanja hadi kwenye pitch very risk but ndo vionjo vyenyewe hivyo.....show bado inaendelea japokua hadi sasa bado hajaleta amsha amsha tulizotarajia.
Kaingia uwanjani kwa kamba kijeshi jeshi,very risk but ndo vionjo vyenyewe hivyo.....show bado inaendelea japokua hadi sasa bado hajaleta amsha amsha tulizotarajia.
Kaingia uwanjani kwa kamba kijeshi jeshi,toka juu ya paa la uwanja hadi kwenye pitch very risk but ndo vionjo vyenyewe hivyo.....show bado inaendelea japokua hadi sasa bado hajaleta amsha amsha tulizotarajia.View attachment 1553432
Konde boy angeingia tu kawaida,sio lazima uwe tofauti saana,sasa kaanguka kutoka kwenye kamba mpaka chini,bila begi la mgongongoni angeumia mgongo au kiuno.