Should you maintain contact or friendship with Ex-partner?

Ooops! Hii inategemea..kuwasiliana kivipi? Hata hivyo ni vizuri kuweka mpaka wa mawasiliano..Perhaps you do not this>>>LOVE is reversible!!! Halafu kabla hujastuka unakosa yote!!!
 
mawahara hawaachani
Imekaa njema. Mi kwa yeyote nilowahi kuwa na mahusiano naye sijawahi kumuacha kwa sababu hakuna sababu ya msingi kuwaacha. Hivyo namba zao nimezichimbia sehemu nikujisikia kuwasiliana nao nawagongea simu kama kawaida.
 
sio tatizo kama yatakuwa ni mawasiliano ya kawaida na kukutana kwenu ni kwa urafiki tu.
 
yaani umeshaachana na mpz wako na ukapata mpz mwingine alafu ukawa bado unawasiliana na mpz wako wa zamani kwenye simu na ata sikunyingine ata kuonana mnaonana.je ni sawa?
hata kama ingekuwa kikazi mwisho wa siku mtakumbushia tu mkate mliowahi kuutumia.
 
As far as I'm concerned, everyone is different when it comes to romantic issues. To me, maintaining contact with an ex ( for reasons other than parental) is a recipe for failure. That's just me.

I don't mean after the relationship is over then all of a sudden you both should be hostile to each other. No, that's not what I'm saying. What I'm saying is once you have moved on to another relationship, if your new partner in crime doesn't have an issue with you maintaining contact with your ex then go for it. But if he or she does have a problem with it then use your brain.

In the same vein, once things are over and both of you have moved on to other relationships, you can still be cordial to each other and observe the social amenities whenever the circumstances allow. What I find objectionable is the constant communication (or it could even be few and far between) between the two of you under the banner of "we are just friends". Damn I hate that phrase.

But at the end of the day you can't control a grown person especially in this day and age. At least I know that much! There are plenty of ways for people to get in touch with lost (loved) ones and I don't have to list them here.

So personally I don't like it. If I had my way I would prohibit it with regards to me. But I know I can't. So what do you do? Well, you just take your medicine and keep it moving.

And oh, by the way, I once heard that old flames are easy to re-ignite......
 
IMO -Perfect!!!
 
yaani umeshaachana na mpz wako na ukapata mpz mwingine alafu ukawa bado unawasiliana na mpz wako wa zamani kwenye simu na ata sikunyingine ata kuonana mnaonana.je ni sawa?

Kama umeolewa/umeoa jitahidi kusitisha mawasiliano.

Kama huyo mpya ni mpenzi tu..........mawasiliano yawe na mipaka......sasa mnaonana kujadili kipi ambacho kwenye simu hakikueleweka?
 
Mi wangu wa zamani kwa sasa nafanya nae bisness tuko partnaship , nilikuwa nae kwa miaka 3 kimapenzi tukaachana mwaka mmoja, mwaka jana tumeanza bznes ila mapenz kila m2 kivyake
 
Ballerina; Kama umeolewa/umeoa jitahidi kusitisha mawasiliano.

Kama huyo mpya ni mpenzi tu..........mawasiliano yawe na mipaka......sasa mnaonana kujadili kipi ambacho kwenye simu hakikueleweka?

Kwa wote walioko kwenye ndoa, ni nani kati yenu anayefurahia mwenzi wake aendeleza mawasiliano na makoloni yake ya zamani ? Mnaposema kama ni mawasiliano ya kawaida si vibaya, hayo ya kawaida ni yapi na na yana mpika ipi? Wewe hapo ulipo ukimkuta mume/mkeo anaongea na X wake wa zamani roho haikuumi regardless ya kile wanachokiongea? Kama unakwazika kwa mwenzi wako kuongea na X wake, basi jibu ni kuwa mawasiliano na wale ulioachana nao zamani si vema kuya-endekeza bila kujali mliachana kwa kupigana ama kwa sherehe.
 
Wapo wanaoweza kufanya mawasiliano ya kawaida...mfano Dr.wa ukweli hapo juu ye anafanya naye biashara............pengine na huyo mpenziwe hanaoni tatizo.....

Kama utaona hilo linaleta shida kwa mwenza huna budi kusitisha................mimi binafsi sipendi mawasiliano yaendelee.............

Risk yake ni kubwa sana.....................mara nyingi huharibu mawasiliano
 
yaani umeshaachana na mpz wako na ukapata mpz mwingine alafu ukawa bado unawasiliana na mpz wako wa zamani kwenye simu na ata sikunyingine ata kuonana mnaonana.je ni sawa?

It will be not fair for your current partner. If you still talk to your ex then what's the point of seeing another person? you've got to move on and stick with the current partner
 
mnawasiliana juu ya nini hasa? Binafsi hili silkubaliani nalo kabisa.

Mi huwa namtazamo kwamba kwenye hali kama hiyo basi hamkumalizana! Lipo mnalotaka kuendeleza.

I dont want anything to do with him.....we were so done, so over!

Ukinipigia, au tukitoka wote tunaenda kuongea nini hasa? Biashara?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

(S)he is EX for a reason, time to move on with your life. Mzima weye? Habari za siku nyingi? usipotee kwa muda mrefu kiasi hicho. Miye nilikumiss.

Haya siku na kazi njema.
 
Back
Top Bottom