hii kali!macho yalikutokaje Kithuku?maana ni shemeji yako sasa.hapo ndio uongo na ukweli hujitengaKuna siku mume wa demu wangu wa zamani aliwahi kuniita tukutane mahali ana jambo la kujadili nami. Bahati nzuri tunafahamiana kiasi kwani wakati anamchumbia huyo demu bado nilikuwa nae, tulikuwa chuoni na mambo yangu yalikuwa hayajawa na msimamo, kwa hiyo demu aliponieleza kuna mtu kaonesha interest nimpe msimamo wangu, tukakubaliana aendelee nae. Hata hivyo hakuwa amemwambia tuna uhusiano, kwa hiyo jamaa akawa ananiita "shemeji". Tukakubaliana na yule msichana kuwa tuwe kaka na dada, na tumeendelea hivyo hadi leo. Basi hiyo siku jamaa alivyoniita (ilishapita miaka 4 na walikuwa na mtoto), kwa kuwa hatukuwa tumepanga lolote, "chale" likanicheza nikampigia "dada" simu, akanijibu hana habari kuwa mwenzie ana kikao nami, nikajua kuna mtego. Nimefika pa kukutania nikamkuta yuko peke yake, keshaagiza nyama choma na bia, tukaendelea. Akiwa ameshalamba bia nne za fastafasta (haikuwa tabia yake, nadhani alikuwa anaondoa nishai), akaanza kunihoji kipolisi, nimwambie ati mkewe nilishamlala mara ngapi?
Kama ni wewe ungemjibu nini "shemejio" huyo?
but kumbuka ana kilevi kichwani!wote wawili!nahisi ngumi zilipigwaSijamlala hata mara moja! mkeo mimi namuheshimu kama dada yangu kabisa wewe umetoa wapi hizi dhana potofu...🙁
mbavu zangu jamani!Swali Langu Wandugu Nauliza Mbona Kila Demu Unaekutana Nae Na Baadae Mnakuwa Hadi Wife Na Nanii,,,,mnapokutana Mkiulizana Tena Wakati W Mapenzi M Ni Wangapi Kwako Anajibu Kama Si Wapili Watatu,,ukiuliza Sana Nyuma Unaambiwa Unamaliza Mikono Miwlii Wengine Na Miguuni Duuhhh Same To Men Hapo Vipi Kwa Nini Tusiwe Wa Wazi,,,nakumbuka Mke Wangu Nilie Nae Aliponiuliza Nilimwambia We Ni 63,,,kati Ya Hao 30 Nililala Nao Chuo Kikuu,,sikumficha Nilipokuja Kwake Akasema We M Ni Wa 51,,kwa Kweli Nilitiwa Nguvu Kuambiwa Ukweli Although Nimejiuliza Kama Anaetembea Na 50 Anataja Ni Wa Pili Huyu Anaetaja 50 M Si Wa Mia Na Hamsini Madada Tusaidiane Hoja Hii
zamani ndio ilikua ya kale hayanuki siku hizi yananuka wangu!tena unakuta yananuka na watu tayari wameshajumlisha na marsdhi mengine so unakua BUDEGE fulaniumebeba taka na zinakunukia.Kukumbushia muhimu wakuu wadau wanasema ya kale hayanuki.
mmh! yanuka mwenzangu tena yananuka haswaazamani ndio ilikua ya kale hayanuki siku hizi yananuka wangu!tena unakuta yananuka na watu tayari wameshajumlisha na marsdhi mengine so unakua BUDEGE fulaniumebeba taka na zinakunukia.
What different does it make?yaani umeshaachana na mpz wako na ukapata mpz mwingine alafu ukawa bado unawasiliana na mpz wako wa zamani kwenye simu na ata sikunyingine ata kuonana mnaonana.je ni sawa?
mawahara hawaachani