Should you maintain contact or friendship with Ex-partner?

kama mwenzi wako akiwa na mawasiliano ya karibu na ex wake,utajisikiaje? nadhani ukikutana nae, dont bite his/her head off. salamu tu zinatosha (sio tena lets have one drink...). usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio, lakini pia whatever u do behind ur partner's back, do @ ur own risk!manake ni wazi huwezi kukutana nae in the presence of ur partner!
 
(S)he is EX for a reason, time to move on with your life. Mzima weye? Habari za siku nyingi? usipotee kwa muda mrefu kiasi hicho. Miye nilikumiss.Haya siku na kazi njema.
yes He is the ex for sm reason.... If we were done, we were soooo done. He is as good as he doesnt exist. He is neither a friend nor an enemy.Tunatofautiana sana BAK, kwangu tukimaliza tumemaliza. Aende aendelee, staki kumsikia, na hakuna nachotaka kusikia.Vile vile kwa mwenzangu sitapenda mawasiliano ya aina hiyo/ukaribu usokuwa na tija!Thanks for the wish BAK....have a good one too!
 
Kuwasiliana kikazi au kimjini mjini2? na mnapo onana mnakumbuka yazamani au mnakunywa soda mnaondoka? na jee yule ulokuanae akikuona utamueleza nini akikuliza huyu nani? sidhani kama ni sawa kama mlisha maliziana ni basi kila mtu aangalie ustarabu wake.
hello,asante bt mbona kuna wengine wanafanya hivyo?coz utakuta upo na m2 wako then anaongea na simu ukimuuliza atakujibu ni mpz wake wa zamani.je na ilo lipo sawa?
 
yes He is the ex for sm reason.... If we were done, we were soooo done. He is as good as he doesnt exist. He is neither a friend nor an enemy.Tunatofautiana sana BAK, kwangu tukimaliza tumemaliza. Aende aendelee, staki kumsikia, na hakuna nachotaka kusikia.Vile vile kwa mwenzangu sitapenda mawasiliano ya aina hiyo/ukaribu usokuwa na tija!Thanks for the wish BAK....have a good one too!
hello,ni kweli 2natofautiana bt kwa wavulana wengi huwa ndio wanafanya ivyo bt asante.
 
kama mwenzi wako akiwa na mawasiliano ya karibu na ex wake,utajisikiaje? nadhani ukikutana nae, dont bite his/her head off. salamu tu zinatosha (sio tena lets have one drink...). usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio, lakini pia whatever u do behind ur partner's back, do @ ur own risk!manake ni wazi huwezi kukutana nae in the presence of ur partner!
upo sawa kabisaaaaaa asante.
 
Why are you keep a dead dog !umeshaonekana haufai then unawasiliana nn !mwisho wa uhusiano its end of everythng kama mliwasiliana b4 mkaishia kuachana ,at th end mmoja anaonekana zoba!
mm wang aliniambia tusiwe wapenz bt tuendelee kuwasiliana,vp hapo imekaaje? Bado ana interest au?
 
Wapenzi waliobahatika kuzaa mtoto hawa utawatenganisha vipi? siwezi kufanya kosa la kuoa mwanamke ambaye ameshazaa na mtu mwingine.
 
yaani umeshaachana na mpz wako na ukapata mpz mwingine alafu ukawa bado unawasiliana na mpz wako wa zamani kwenye simu na ata sikunyingine ata kuonana mnaonana.je ni sawa?

Binafsin huwa si support kabisa hii kitu. Sababu ni kwamba haya mawasiliano huwa yanafanyika kwa siri (huwa hayako wazi) yani mpenzi mpya huwa hayajuii. Na mara nyingi wapenzi wanaotafutana baada ya kuachana huwa wanakumbushiana bana..hata kama haikuwa lengo lao inaweza kutokea. Awali ni awali l.o.l Usicheze kabisa na watu waliokuwa wameunganisha mioyo halafu uje uniambie wanakuwa marafiki tuu.. simaanishi wawe maadui. But hakuna umuhimu wa kufuatiliana .. kujua yuko wapi, anafanya nini, na nini, yuko na nani sasa (mpenzi) n.k
 
kama mwenzi wako akiwa na mawasiliano ya karibu na ex wake,utajisikiaje? nadhani ukikutana nae, dont bite his/her head off. salamu tu zinatosha (sio tena lets have one drink...). usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio, lakini pia whatever u do behind ur partner's back, do @ ur own risk!manake ni wazi huwezi kukutana nae in the presence of ur partner!

thank you for this... msisitizo hapo kwenye blue. haya mawasiliano huwa ni ya kuiba iba mwenzi wako akijua ooh we are just friend ... BIG NOOOOOO
 
wapenzi marafiki naomba mtembelee blog yangu inaitwa Ubaguzi.wordpress.com.then naombeni michango yenu marafiki.
 
LABDA WALIOZAA MTOTO/WATOTO HAO MAWASILIANO KWAO NA YAWE YANAHUSU HAO WATOTO/MTOTO,
LABDA KAMA NI KIBIASHARA/KIKAZI HAPO RUKSA NA LAZIMA YASIWE YA KIFICHO,
Lakin kama ni kawaida mmh! hapana kwani penye urafiki ni rahisi mapenzi kupenyeza.
Ila salaam mkikutana kwa bahati mbaya ruksa, lakin isiwe kukutana kwa kupanga kabisa, hiyo HAPANA KABISA.
 
si mbaya kama huna nia ya kurudiana nae maana wengine ndo inakua tiketi ya kurudisha enz.but make sure present wako asijue walio wengi hawapendi kuona still mnawasaliana na x
 
mmmmh...haswaa akiwa ndo first love ni ngumu kutowasiliana....lakini wakati mwingine c poa kama tayari uko na mpenzi mwingine
 
Kama walivyosema hao waliotangulia. Inategemea mmeachanaje, huenda mmoja wao kakutana na Pelejee pita njia/sugar mmumy kamwezesha basi siri ikivuja, mnaweza kuachana shingo upande. Hapo ndipo mtakapokuwa mnaendeleza mawasiliano ya kupigiana simu.
 
duu yamenikuta! najutia relationship na huyu Bwana!!! nilishabreak na mtu years ago mtu coz alinichit, akarudi anaomba turudiane et alishawishika coz tulikuwa hatusex, nikakataa katakata,akaomba mawasiliano kama ya kaka na dada, nikakubali. Akanibembeleza tena turudiane, nikamkataa. sasa ana kazi kuwapa namba yangu magirlfrnd zake wanaonisumbua balaa! huyu ni mwanaume wa aina gani na anataka nini exactly kwangu??
 
Depends, every case is different, how you break up will determine if you will remain or should remain friends
 
Back
Top Bottom